Imenichukua mwezi mmoja kufanya analysis juu ya hii game, nimeangalia game karibu 10 za kila timu na katika hizo karibu game 5 nilienda uwanjani kushuhudia tactics za timu zote mbili.
Game ya...
Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa...
Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama...
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup...
KAMA bao la penalti laini ya Saido Ntibazonkiza dhidi ya Asec Mimosas lingesimama kwa dakika zote tisini si ajabu mashabiki na viongozi wa Simba wangerudi katika dunia yao ya njozi kwamba bado...
Juzi hapa nilifanya marudio ya mechi ya Simba vs ASEC Mimosas ili nijiridhishe baadhi ya vitu.
Moja ya jambo nililogundua na kunishangaza katika marudio ni kugundua kuwa Moses Phiri aliingia...
Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi.
Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya.
Mtapigwa goli...
Eng Hersi ametoa tiketi kwa wanachama wa tawi la wasiyoona hapa kinondoni kushuhudia mchezo wa Al Ahly. Eng Hersi ameahidi haya kwenye uzinduzi wa tawi hilo jipya lenye wanachama 138 wasiyoona...
Leo club ya Young Africans imekabidhi ng'ombe kwa waandishi wa habari baada ya kureport vizuri na kuhabarisha uma tukio la kumkanda kolo goli tano
Yanga imewashukuru waandishi wa habari kwa...
Tunataka muendelezo wa kupoteza uendelee Yanga wapigwe hakuna uzalendo wala maneno ya kupeana moyo, hiyo misuli bila chupi watatafuta pa kuiweka.
Kwa sauti ya gwajima wapigweeeeeeeeeeeee Yanga...
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga
But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw lkn mtandaoni imekuwa ni kama...
Hizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo...
Jamaa wameona kwa jinsi mchezo ulivyo mgumu basi njia pekee iliyobaki ni kwenda zanzibar ambako walitumia waganga wa pemba kuipiga 5 timu moja ambayo jana imekaa kikao na wachezaji kubaini tatzo...
Hivyo ndivyo ilivyo na mnapaswa kujiandaa kisaikolojia katika mchezo huo kwani mtapigwa goli za kutosha.
Hiyo misuli inaweza anguka uwanjani na kupata aibu kubwa.
Huyo kijana msemaji wenu...
Wakuu umofia kwenuu!
Rais wa Yanga na Director wa Simba wameitwa CAF kuuhudhuria mkutano wa kuanzishwa chama cha vilabu Africa utakaofanyika Leo.
My take: kwa nini asiende Mangungu ambaye ndie...
Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
MADA MADA MADA MADA [emoji460] KUELEKEA MASHINDANO YA CLUB BINGWA , TIMU ZA TANZANIA ZINA NAFASI YA KUVUKA GROUP STAGES? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] NJOO NA MAONI YAKO , UBISHI NDIYO...
Cash back kwenye bet ni ofa inayotolewa na kampuni za kamari au makampuni ya michezo ya kubahatisha ambapo mchezaji anaweza kurudishiwa sehemu ya pesa aliyoweka kama dau, ikiwa bet yake itashindwa...
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha
Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.