Mechi na Power Dynamo zote sare, mechi na Al Ahly zote sare, mechi na Asec sare nyie hamjashtuka tu, mshambuliaji wetu tunayetemgemea Jean Baleke ndio huyo huyo msimu uliopita alitupa furaha, Leo...
Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma!
Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng...
Kwa namna kundi letu lilivyo inahitajika nguvu ya ziada aiseeh, kutoboa hapa.
Kundi letu ni kama ifuatavyo:
Asec 4 pts
Galax 4 pts
Simba 2 pts
Wydad 0 pts
Imebakia jumla ya michezo minne ili...
Habari za weekend wadau,
Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba...
Kurwa kachanganyikiwa, Doto ndio hajui hata pa kutokea. Wachambuzi wa mchongo wanawapa matumaini Masupu FC A.K.A misuli ammi rojo kuwa watapindua meza.
Huu ni uongo, ndio kwishnei. Hesabu...
Sielewi kwanini makocha, mashabiki na wachambuzi hawalioni hili,
Tangu apewe kiatu uchwara alichomtapeli Fistoni Mayele amekua ni mchezaji wa hovyo sana Msimbazi. Kila anapokua na mpira...
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu.
Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption...
Matokeo yote tayari tumeyapata.
Na mienendo ya timu zetu zote mbili mpaka kufikia hatua hii
Tumeiona!
Simba sc mnyama mkali..kagawana points ugenini
Yanga sc ..wa kimataifa..naye akishabikia...
Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji.
Mo akaona huyu ndio...
1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji.
2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika...
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi...
Wiki chache zilizopita nilileta uzi mmoja nikihoji kwa nini matukio katika mechi za Simba msimu iliyopita na msimu huu yamekuwa yanafanana sana na yale ya Yanga pale timu hizo zinapocheza siku...
Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, hadi mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza.
Wameshawishiana wakae uchi mchezo wa...
Mpira kwa hapa Tanzania umekuwa kwa kiwango fulani ambapo vilabu vyetu vikubwa hususani vilabu viwili yaani Simba na Yanga.
Kwanza tukiacha miaka ya huko nyuma nitaanzia kwenye misimu michache ya...
1. Simba haijawahi kucheza mchezo wowote wa kimataifa msimu huu na kushinda, kumbuka hata kufuzu walifuzu kwa goli la ugenii.
2. Sio jambo la kawaida kwa timu kama Simba kucheza mechi za...
Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.