Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi
Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika...
Kama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi...
Habari,
Ikiwa zimebaki siku kadhaa kwa kuanza msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani yaani EPL, tumeshuhudia vilabu vyenye majina makubwa na maarufu vikifanya usajili mkubwa na mzuri...
Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani ya 5G, wakiendelea hivi na ubinafsi, makundi tu tutaumaliza mwendo,
Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile...
Tulidhani hawa madeama ni underdog, angalia mpira wanaoopiga Belouizdad wanatamani mpira uishe.
Yanga asiposhinda kesho kwa Mkapa basi ndoto yao itakuwa imeishia hapo.
Full Time MADEAMA 2...
Leo ni 'Mbeya Derby'.
===
Ihefu wanakutana na Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC unaopigwa uwanja wa Highland Estate, Ubaruku. Fuatilia yote yanayojiri kutoka kwenye mchezo huu...
Naomba kufahamu yule jamaa mweusi aliyekuwa kwenye benchi la ufundi la Yanga jana ni nani? Anaitwa nani na pale benchi ni kocha wa viungo, makipa au daktari?
Me kama mwana yanga napendekeza au kutoa ushauri kwa rais hersi kufanya sajili za wachezaji kama ifuatavyo.
1. Striker, yanga inahitaji mfungaji mwenye ubora anaeweza kumililiki mpira,kufunga na...
UZI WA WANANCHI KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA.
Jezi ya Yanga ndio jezi ndio jezi ya vilabu iliyotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2025.
Imevaliwa na zaidi ya watu wawili kwenye video ya wimbo...
Mzuka wanajamvi!
Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?
Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?
Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na...
Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away.
Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili...
Mzuka Wanajamvi.
Ilikuwa hamna haja ya Pep kumuondoa Doku na kumuweka Grealish.
Wadau hatukupendezwa ukizingatia Doku alicheza vizuri sana. Na angebaki hadi mwisho City wangechukua point zote...
Nimeangalia mechi zote mbili ile ya Algeria na hii hapa ya kwa mkapa dhid ya Al alhly nachelea kusema pale hamna kocha wa mbinu
Mbinu pekee aliyonayo n kupress kwa kas basi na Wala hamuheshimu...
Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka...
Mtanzania Ramadhan Dau imebainika kuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa timu ya mpira ya New Castle United ya Uingereza. Gazeti lisema anajumla ya shilling billioni 100 za Kitanzania.
Chanzo: Dira
Kwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!!
Hii team itakua kweli ilitumia uchawi...
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili.
Mashindano...
Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama.
Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia.
Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.