Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake;
Asec 3 -0 Simba
Waydad 1 - 0 Simba
Simba 1 - 3 Galax
Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo;
Ahly 1 -0...
Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club...
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Twiga Stars imefuzu mashindano ya WAFCON 2024 Morocco licha ya kupoteza Kwa Togo.
Tanzania imefuzu kwa Aggregates.Hongera sana kina dada.
---
Timu ya Taifa ya...
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua...
Mwaka 2016 kwenye CAF Confideration Cup Yanga walikutana na Medeama kwenye kundi moja.
Kundi hilo lilikuwa na timu nne ,Tp Mazembe, Yanga, Mo Bejaia na Medeama.
Kwenye msimamo
Tp Mazembe...
Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo...
Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea
"Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua...
Hapo vipi?
Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa.
Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa.
Hivyo wanapokuja katika michuano hii...
Wakongwe habari!
Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi.
Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la...
NBC Premier League leo Alhamis
Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC
Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani
Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu...
Kwa Mjibu wa @optaanalyst hii ndio Orodha ya Vilabu vilivyofanya vyema Barani Afrika kwa Mwaka 2023.
Klabu yako inashika nafasi ya ngapi [emoji116]
1. Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Raja...
Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League.
Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye...
"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu...
Nashindwa kuelewa akili za mashabiki wa Yanga. Simba ilipodraw mechi zote mbili African football league mashabiki wa Yanga walisema Al Ahly ni mbovu, mwaka jana Simba walipotolewa na Wydad kwa...
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.
Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani...
Sokabet unapoweka mkeka wako mechi moja imebaki alafu haieleweki mambo yamekua ya moto unaweza kutoa Pesa( cashout) kabla mkeka haujaungua wote....SOKABET bana AMUA USHINDI wako......SOKABET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.