Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi...
Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall...
Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania ’Taifa Stars’ imefuzu kwa AFCON 2023 ambayo itachezwa 2024 kule Ivory Coast, hii ni mara ya 3 Tanzania kufuzu baada ya 1980 na 2019.
Kuelekea fainali hizo za...
Nafasi ya Simba kwenda Robo Fainali imeanza kuwa ngumu
“Nafasi ya Simba kwenda robo fainali imeanza kuwa ngumu zaidi. Simba wameambulia pointi mbili katika mechi zao mbili za mwanzo. Na sasa...
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa...
Shirikisho la Soka Barani Afrika limelichagua goli alilofunga Mchezaji wa Yangasc, Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly kuwa ndilo Goli Bora la Wiki kwenye mechi za pili hatua ya Makundi Ligi ya...
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza.
Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam.
Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam.
Tarehe 5 Novemba anacheza na...
Kwenye ile gem ya Yanga vs al ahly, naona mwandishi anaandika eti Yanga amembana Al Ahly!
Aisee like seriously?
Hivi nani alipaswa kubanwa kati ya mwenyeji na mgeni? kiutaratibu wa kisoka..
'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar.
'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024...
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM...
Nimetafakari Sana na kuikumbuka Lipuli FC ya Iringa ambayo ilishuka daraja baada ya kuonekana inaikomalia club ya Yanga.
Mashabiki na wanachama wa Yanga walisema tutahakikisha Lipuli inapotea...
Mwamuzi Kennedy Padi kutoka Ghana ambaye ndiye alichezesha mchezo wa Ligi Kuu baina ya Hearts Of OAK dhidi ya Asante Kotoko amelalamika kwamba tangu amalize kuchezesha mchezo huo amekuwa...
Natoa kongolee kwa wachezaji wa Simba sc kwa uwezo mdogo waliouonesha.
Lakini nitakua mtu wa mwisho kuamini kuamini kuwa Simba sc itafika robo kwenye michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE.
japo ni...
Ukiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao.
Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni...
Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu...
Newcastle United inaweza kumsajili kipa wa zamani wa Manchester United, David de Gea ili kuchukua nafasi ya Nick Pope ambaye amepata majeraha ya bega na anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda wa...
Game ya mwisho mnamaliza cairo, hakika uto mnataabika sana na yule mido kisheti wetu tabu lelee ameupiga mwingi mno mpaka ukamwigika, muda wote namwona yeye tu uwanjani.
Hakika tutatinga final za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.