Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wale wadau wasoka hapa bongo watakuwa wapo makini kufuatilia matokeo ya michezo ya Leo ya timu za Simba na yanga Huku simba ikiwa ugenini kusaka point adimu na za muhimu wakati kule atakuwa yanga...
1 Reactions
11 Replies
474 Views
Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana...
9 Reactions
196 Replies
10K Views
Ni Engineer HERSI SAID, Raisi wa Klabu ya Yanga. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Ili [Nchi] iendelee inahitaji vitu vinne, WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA. Katika vyote hivyo Cha...
17 Reactions
23 Replies
2K Views
Inasaidia nini? Haina impact yoyote ndo maana hata waliochaguliwa ni watu watu tu wa kawaida. Mwenyekiti atoke Yanga Makamu mwenyekiti Kaizer Chiefs Makamu mwenyekiti wa pili Akwa United...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Hii hapa ndio kauli yake
3 Reactions
9 Replies
842 Views
Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara...
27 Reactions
76 Replies
4K Views
Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote Afrika Hersi Said. Simba...
7 Reactions
79 Replies
6K Views
Game on Hapa Taifa. Watanzania tumejitahidi kufika. We Love Football. Tunawashangilia Wasudani --- Matokeo mengine Madeama 2 - 1 Belouizdad
5 Reactions
105 Replies
8K Views
Leo majira ya saa 12:30 kwa saa za hapo Afrika mashariki na kati CAF watatoa draw ya makundi kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFL. Ikumbukwe kuwa Simba ndio mwakilishi pekee wa michuano hii kwa...
9 Reactions
283 Replies
16K Views
Ningependa kuweka jambo sawa ambalo limetolewa ufafanuzi na shirikisho la mpira wa miguu TFF ya kwamba Mwenyekiti wa chama Cha vilabu barani afrika Eng, Hersi said kwa WADHIFA wake atakuwa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukweli tunatia aibu. nadhani sekta ya habari inahusika na jambo hili. Sikiliza swali la mwandishi wa valor kwa kocha wa Al-Ahly. https://www.youtube.com/watch?v=oN9GvVQGckg
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukiangalia ujumbe wa team ya Al Hilal ambao watatumia uwanja wa BWM kwa ajili ya mechi zake za CAFCL umebeba ujumbe mzito na umejaa weledi mkubwa mno. Hata lugha iliyotumika kuomba support ya...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Afrika ni Afrika tu,Na wa Afrika ni wa Afrika tu Timu ya al Ahly inayojiandaa kucheza na yanga desemba 02,2023 imezua gumzo la mwaka kwa kusafiri na mizigo mingi iliyopita kiasi na kuhitaji gari...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
"Nimpongeze mshindi ila lazima ukweli usemwe kuwa amepata huo urais wa ACA kuwakilisha vilabu 54 baada ya wale waliotakiwa kupewa kama tajiri wa tp mazembe moise katumbi chapwe kukataa kwakuwa...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo. Wydad, asec na Jwaneng Galaxy. "Eti tunapiga Jwaneng Galaxy...
18 Reactions
57 Replies
6K Views
Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama...
3 Reactions
11 Replies
897 Views
Hawa jamaa ni nawakubali sana,kwanza wana makombe mengi, uzi wao ni mwekundu kama wa Simba, mimi Shabiki mkubwa wa Simba huwa nawakubali sana hawa mabingwa wa Africa. Nawatakia ushindi kwenye...
3 Reactions
10 Replies
623 Views
Asanteni sana viongozi wa Al Ahly kwa kukubali kufuata maelekezo yetu yote team Cognizant ili kesho mshushe kupigo kitakatifu kwa wapuuzi na washamba Uwanja wa Mkapa.
-1 Reactions
3 Replies
517 Views
Je, uongozi, wachezaji, utajiri na mipango ya Simba inaweza kuvuna mipango, ubora na mahitaji ya kocha Benchikha Abdelhak? Mangungu anaweza kukubali kuacha ulozi na kukumbatia sayansi ya mpira...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Haya haya tuliopigwa mabao 5, tulisema sisi ni wakubwa tukawa tunawadanganya wanachama kuwa sisi ni wakubwa, sasa Leo huko CAF rais wa Yanga Injinia Hersi ameshinda Uenyekiti wa vilabu Afrika na...
16 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom