Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa.
Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya...
Zanzibar,
Kwa mujibu wa msemaji wa Yanga ndugu Ally Kamwe mchezaji wao wa kati Ibrahim Bacca ni mwanajeshi wa KM Zanzibar hivyo ameomba mashabiki wa Yanga waliopo kwenye vyombo hivyo siku ya...
Sisi tuna uchungu sana wa kuonewa kufungwa mabao 5 na ndio maana tumechanganyikiwa kila mtu anasema lake, machawa wanatetea uongozi na sisi tunasema hapana, uongozi umetuangusha.
Sasa hawa jamaa...
Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
"Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly...
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.
Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni...
Ushindi wa timu yako unanoga na kufurahisha sana kama ukiwa mwanachama hai. Iko siku wanachama hai watapata gawio la fedha mbali na lile gawio la sasa la furaha viwanjani. Mpira ni pesa twendeni...
Benchika the great [emoji91]!!
Abdelhak Benchika ni kocha ambaye hawezi kudumu kwenye timu Yako Kwa muda mrefu kama Kuna magumashi mengi ....Huyu ni kocha ambaye hapendi Magumashi.
Benchika...
Viongozi wa Yanga wameona hapo ndo mwisho kimataifa wameona kundi ngumu hawavuki wameaamua kuwapoteza mashabiki maboya kuendelea kusherekea ushindi wa kumpiga mtani goli 5.
Lengo lao ni kuwatoa...
Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu...
Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu...
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa...
Timu iliyofungwa mabao 5 na Yanga imemleta Benchika, kocha ambaye unapotaja makocha 10 bora afrika na yeye yumo.
Benchika ana mbinu na uwezo wa kuwafurahisha wale waliokufa mabao 5 na kurudisha...
Mangungu anaamini mno kwenye mpira wa kishirikina kuliko ufundi na uwezo. Hili linawakera sana wachezaji na bechi la ufundi. Kuna mambo ya kishirikana kutoka kwa Mangungu ambayo baadhi ya...
Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu
Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja)...
Habari wananchi wenzangu...
Jumamosi hii ya tarehe Mbili December tuna game ya CAF champions League dhidi ya Mabingwa watetezi National Al ahly. Hii itakua game ya pili kwenye kundi letu...
Asante sana Mchezaji mwandamizi wa Simba sc uliyenipenyezea hii taarifa na kunisihi sana nisije kuweka wazi jina lako.
NALIA NGWENA nakuahidi sitoweka jina lako hadharani kwa hizi taarifa muhimu...
Baada ya Simba sc kudroo na Asec Mimosa kitu ambacho mashabiki hawakutegemea kuwa Simba sc ingedondosha pointi mbili muhimu kwa mkapa.
NALIA NGWENA nilipata kusikia sauti na mayowe na kushuhudia...
Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu...
Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.