Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Inaonyesha huko simba hali si shwali kabisa, nasikia admin amekataa kuposti chochote Tangu jana saa tisa mchana kilipotangazwa kikosi, mpaka sasa hakuna updates zozote, si half time, full time...
3 Reactions
6 Replies
624 Views
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ashika nafasi ya Pili kwa muda wa Saa mbili na Dakika tano na sekunde Thelathini na Tisa (2:05:39) na kuwa muda wake mzuri (PB) yaani...
7 Reactions
4 Replies
754 Views
Kuanzia mashabiki, uongozi na mwisho wachezaji wa Simba,utaona kuchanganyikiwa kusiko na kipimo (beyond measure). Wenzao Yanga wametulia tuli. Simba wanafikiri kuwa na jina kubwa ni magoli...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi. Komenti za wana jf hao...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na...
1 Reactions
8 Replies
616 Views
Kwa yanayoendelea Simba, hakika kama siyo utani wa jadi tungeweza kuwaalika(kuwakodi) mashabiki wa Yanga kwajili ya kutuondolea wanao cheza na akili za mashabiki wa Simba. Kwanini nasema haya...
0 Reactions
2 Replies
284 Views
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki...
24 Reactions
103 Replies
4K Views
Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo. Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast. Mechi hii itaanza...
14 Reactions
749 Replies
49K Views
Ukiangalia kikosi chao cha leo dhidi ya timu dhaifu. Lakini bado uchezaji wao ni uleule hakuna maajabu wala nyongeza yoyote kwenye kikosi cha makolo. Sajili mpya zote zimeshindwa kuonyesha kile...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa...
1 Reactions
5 Replies
931 Views
Anaitwa G. Phoko Huyu ndio kachangia kuwalaza na viatu wydad Wana simba mmejioanga ??
0 Reactions
1 Replies
555 Views
Tutaonana mwakani ndugu zangu kwa sababu hamna maarifa.Mnaoroga wachezaji ili waonekane hawajui mpira, ionekane usajili haukuwa mzuri ili mpige hela tena, mnaroga wachezaji ili wachukiwe na...
3 Reactions
7 Replies
678 Views
Na mlivyo wa hovyo mlidhani Cognizant "Think Tank and Adorable Angel" hili Tukio lenu mlilolifanya kwa Siri Kubwa sitolijua na kupata Taarifa yake kwa Kina? Ukweli ni kwamba 75% ya Mashabiki wa...
3 Reactions
11 Replies
861 Views
Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi...
4 Reactions
12 Replies
596 Views
Huyu Mwenyekiti ajitathmini na afanye maamuzi ya kupumzika uongozi, kutoka na upepo unavyoelekea atapata wakati mgumu Sana. Mangungu aachie ngazi kwani Hali ya timu siyo nzuri
2 Reactions
8 Replies
655 Views
Ukweli usemwe japokuwa ni mchungu, hamasa imekua kubwa sana katika kuwahamsisha mashabiki wa Simba sc lakini mwitikio sifuri. Zimesambazwa tickets za bure kwenye matawi, viongozi wa Simba sc...
15 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom