Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni mbinu tu zimewafunga na Wala msimlaumu Mtu. Sio Kocha, sio wachezaji Wala sio kipa. Ni mbinu tu zilizidiana. Tulieni, timu sio mbaya. Don't do anything stupid, you will greatly regret.
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu zangu mashabiki wa simba sc hawa watu wawili ndio wanaididimiza simba tunahitaji twende mbele ila tunarudi zaidi nyuma ukiangalia simba ndio imefanya ligi ya tanzania itambulike kwa 80%huko...
1 Reactions
0 Replies
431 Views
Kwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi. Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo majira ya saa 3 asubuhi Viongozi wa bodi ya uwekezaji walikutana.Mmoja wa kiongozi mkubwa kabisa Kutoka upande wa bodi ya uwekezaji ameutaka Uongozi wake ufatilie simu za mwenyekiti wa...
3 Reactions
5 Replies
824 Views
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago. Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeona mashabiki wakigawanyika katika mtazamo wao. Kuna wale wenzangu mimi,tukiona timu inafanya vibaya au ina dalili za kufanya vibaya,tunaumia na kulalamikia vitu tunavyodhani ndiyo sababu...
2 Reactions
4 Replies
774 Views
Baada ya kichapo heavy nikiwa shabiki Lia Lia wa Simba sc nahitaji wanasimba wenzetu tupige kura hapa ya kumfukuza Robertinho au tufukuze wachezaji?? Njoo haraka sana.
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Ukweli mchunguuu Ni kuwa wachezaji Kama CHAMA, KAPOMBE, ZIMBWE, INONGA nk. Wao pia ni binadamu wanachoka. Kila mechi wao, kuanzia NBC mpaka kimataifa hata mechi za kirafiki ni wao wao tu hata...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi...
8 Reactions
5 Replies
946 Views
Kwa heshima kubwa napenda kuishukuru Simba Sports Klabu. Hii timu ilifanya umafia ambao naushukuru hadi Leo. Walivamia Airport wakamuiba Ngoma wakajiona majambazi. Chezaji ngongoti, legelege...
1 Reactions
5 Replies
665 Views
Wakati wengine wanaangalia tu matokeo ya uwanjani na timu inavyocheza, wengine tumekuwa tunaangalia mazoezi ya Simba na kuanza kuona mapungufu ya kitimu kuanzia huko. Nakumbuka kuleta uzi...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
Kitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa! Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo...
18 Reactions
33 Replies
2K Views
Salam Wana jf [emoji113][emoji113][emoji23] Kabla ya mechi robertinho ilibidi aweke msisitizo mkubwa kwenye viungo ( kukaba sana) Ili kusumbuana na viungo wa Yanga Kosa alilofanya robertinho ni...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Kumekua na kasumba ya kulinganisha wachezaji na mahesabu kihasibu kupigwa namna gani mchezaji anaitia hasara timu. Lakini Cha kushangaza toka atue Yao (jeshi) beki kitasa, beki serious beki...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Simba fanyeni tathmini, nimekuwa nikifatilia sana uwanja wa mazoezi Bunju, kila tunapocheza na Yanga ni sare au kufungwa, tangu tulipofungwa bao na Morrison hadi leo. Fanyeni tathmini tumemfunga...
2 Reactions
11 Replies
691 Views
Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a...
1 Reactions
2 Replies
873 Views
Jana kuna tukio lilitokea na kujirudia kama lilivyotokea miaka 11 iliyopita. Miaka 11 iliyopita Simba ilimgaraza Yanga magoli 5-0. Emanuel Okwi akiwa kashatupia goli mbili, Simba wakapata penati...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Mambo vipi Mdau, Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa 😀😀😀😀😀
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom