Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli. Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho. Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Tualiambiwa ni moja ya kuta bora sana hapa nchini hata ulipue kwa ICBM za Korea ya kiduku haubomoki. Lakini maajabu kila mechi risasi za gobole zilipita lakini Bado uliitwa ukuta imara kwani...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Feisal Maneno ya watu: Yanga kwisha habari yake, hawapati kiungo kama Fei toto. 2. Mayele. Maneno ya watu: Huu sasa ndio mwisho wa utopolo, aliyekuwa anawabeba kaamua kusepa. This time...
1 Reactions
3 Replies
629 Views
Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa. Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x) Alikua Mbowe siku ya...
10 Reactions
116 Replies
5K Views
Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
[emoji1593]Yanga SC wamecheza mechi ya ubora wa hali ya juu, walichofanya Yanga ni kutafsiri nini maana ya Football, ambayo ni: Time and Space. [emoji1593]Timu zote mbili kuna mahala ambapo...
4 Reactions
7 Replies
893 Views
Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo: 1.TATHMINI...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Wanasimba Poleni. Ni msiba. Hata Al ahly walipaswa kuwafunga hivi Tuliwaonya tangu na Kabla na huyu mzee wa Objective football. How could it be so possible Chama Out Baleka out Kibu out...
12 Reactions
63 Replies
10K Views
SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa. Ni kweli timu...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Ni muda sahihi wa kuwatimua hawa wahindi,kwani, hamna lolote wanalolifanya simba,isipokuwa kutupa presha tu. Kama hawa wahindi wataendelea kung'ang'ania Simba yetu, basi tuhesabu maumivu. Tatizo...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023 Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Simba sio ya kufungwa bao 5 hata kama mpira unadunda kiasi gani, ulisukwa mkakati wa muda mrefu baina ya wanaojiita wajanja wa mjini ambao wameondolewa ndani ya Simba na wale walioshindwa kwenye...
15 Reactions
64 Replies
5K Views
Bila shaka ulikua mkakati wa Tff kuhakikisha Yanga anatema pointi tisa na kumtengenezea Simba njia nyeupe ila ndio hivyo mpango wao umeshindwa sio ajabu wakaja na propaganda zao tena za kubadili...
7 Reactions
4 Replies
719 Views
Wajuzi naomba mnisaidie kwa nini katambulishwa Rais wa Heshima Mo dewj badala ya Mwenyekiti aliyechaguliwa na wanasimba kwa kumpigia kura na kushinda. Upande wa Al ahly alitambulishwa Mwenyekiti...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika...
15 Reactions
2K Replies
91K Views
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Laiti ingekuwa Simba imeshinda jana basi leo mji ungekuwa na kelele na majezi mekundu kama waganga wa kienyeji lakini Wananchi wameshinda tena nyingi na kama hamna kilochotokea. Kwa hili...
9 Reactions
6 Replies
392 Views
Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
8 Reactions
99 Replies
12K Views
Tabuleeeeeeee Binafsi tukio la ajabu nililolishuhudia ni MIKIMBIO YA MGENI RASMI pamoja na maajabu ya OBJECTIVE FOOTBALL Twende kazi.
0 Reactions
7 Replies
660 Views
Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Back
Top Bottom