"Hao sio level yetu, Simba ni timu kubwa Afrika. Level za Simba ni Al ahly, Mamelodi sundown, waydad na ma giant wengine, sio Yanga.
Ni lazima tuwapelekee Msiba mkubwa na tunakwenda...
Kuna Vitu Vinafikirisha Sanaa, hasa Ukiangalia Namna Kocha Mkuu wa Simba anavyo ongoza Timu. Nahisi Kocha Wa Simba Anabebwa na Matokeo zaidi kuliko uwezo wake. Najiuliza Maswali Mengi sana
1...
Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama.
Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu...
Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo.
Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni...
Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa...
Baada ya kipigo cha 5-1 kutoka kwa Yanga, Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally amesema "leo tumezidiwa na mpinzani wetu na hatimaye tumeadhibiwa, hakuna unachoweza kusema zaidi kukiri udhaifu kwa...
Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly.
Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana...
Habari Wanasports
Yanga tokea alivyocheza gemu nzito ya fainali dhidi ya Usm Alger na kuondoka na ushindi wa goli 1 kwa nunge nathubutu kusema bado hajakutana tena na gemu ya kumsumbua
Yanga...
Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika...
Njoo ufute kauli yako uliyotamba wiki nzima kwenye hamasa na kutoa kejeli za kusema kuwa Yanga Sc siyo level ya Simba Sc.
Kwa kipigo Cha goli 5 kwa 1 nafikili kitakua kimekufunza Nini maana ya...
"Kama niliwahi kumlinganisha AZIZ KI na CHAMA cha watoa taarifa naomba nisamehewe lazima nitakuwa nililewa"
[emoji2399] David Kampista
Mtangazaji wa Clouds FM
Najiepusha kuzungumzia matokeo ya leo pale Kwa Mkapa. Kwa Yanga hii, Simba haifui dafu. Simba walipotoka sare mbili na Al Ahly nilisema kuwa walikutana vibonde watupu. Wababe wa AFL wanacheza...
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Akizungumza baada ya timu yake kufungwa magoli 5-1 katika mchezo dhidi ya Yanga, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira “Robertinho” amesema kipindi cha pili wachezaji wake walipoteza umakini.
Amesema...
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums (...
Kaenda siku ya mechi ya simba na Al ahly,simba na Ihefu kaingia na bado mkasema kwa kejeli aje na kwenye mazoezi yenu pale bunju . matokeo ndio hayo 5G mnara umesoma.
Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.