Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Matokeo yalikuwa yanawapumbaza mashabiki na kujisifia pira objective ilihali timu kupata clean sheet ni mbingu na ardhi. Mpira objective unaanzia kwanza kutoruhusu goli ovyo ovyo. Mechi dhidi ya...
4 Reactions
5 Replies
669 Views
Asiyejua mpira hawezi kuelewa!! Kupigwa nyingi kwenye soka si ajabu na si ubovu wa timu, bali matokeo ya soka la kisasa huamuliwa kwenye benchi la ufundi!! Tutumie uzi huu kujitathmini bila jazba...
1 Reactions
8 Replies
411 Views
Yanga imedhihirisha ukubwa wake Kwa Simba khamsa za Leo si kitoto japo mi niliziona na nilisema kabla ya mechi kwenye Uzi maalum wa mechi hii , Simba tumewakanda kipigo Cha mbwa Koko 5G kama...
5 Reactions
13 Replies
840 Views
Kuanzia leo 5 November mechi ya Yanga vs Simba isihesabiwa kama derby bali Azam na Yanga ndio iwe mbadala wake,hsiwezekani derby inakosa ushindani uwanjani mpaka mtu anafungwa goli tano.
5 Reactions
5 Replies
736 Views
Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha Manula. Huyo ni kipenzi cha Yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini
1 Reactions
5 Replies
956 Views
Leo Tarehe 5/11/2023 kuna Mechi ya Simba na Yanga. "Mimi ndie mmiliki wa kuamua nani ashinde na nani asishinde, Simba niliwabariki hawakuona thamani yangu na Yanga niliwabariki hawakuona thamani...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakati mtaalamu wa kutoka Argentina akienda pale Lupaso kuwaangalia Simba katika mechi zao wengi hasa mashabiki wa Simba walimwona mjinga kumbe mtaalamu anafanya kazi zake kama Mosads alikua...
7 Reactions
15 Replies
939 Views
Naona muda wa game ushawadia lkn hakuna Chanel azam inayoonesha!!!!
0 Reactions
4 Replies
426 Views
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC...
23 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana. Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye...
5 Reactions
73 Replies
4K Views
Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa...
4 Reactions
8 Replies
611 Views
Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Azam walimkamia MAX na PACOME hawakujua muuaji ni mdunguaji AZIZ KI kilichowakuta mnakijua, juzi mlivyocheza na ihefu jasusi GAMOND na benchi lake la ufundi walikuwepo uwanjani kta mkapa. Awamu...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Sisi wazee wa jadi mechi tushaitazama wengine mkiwa mnasubiri kutazama kesho na matokeo ndo hivo kama nilivoeleza hapo juu. Goli la Yanga limefungwa dakika ya 71 na khalid Aucho kwa kichwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Miezi kazaa uko nyuma niliwahi kusema simba wao wanawekeza kwenye propaganda na wakati wenzao yanga wame focus na mpira Usajili wa simba wote mnajua ulivyokuwa na vurugo sijui Che Malone Sijui...
5 Reactions
5 Replies
485 Views
Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup. Yanga wakarudia tena katika...
22 Reactions
35 Replies
3K Views
Vilabu bora Barani Africa : 1. [emoji1093] Al Ahly Cairo 2. [emoji1173] Wydad Casablanca 3. [emoji1241] Young Afticans 4. [emoji1093] Pyramids 5. [emoji1221] Mamelodi Sundowns 6. [emoji1173] FAR...
14 Reactions
69 Replies
6K Views
Uwanja wa Taifa ni juzi tu umetoka kukarabatiwa na sasa uko kwenye kiwango, hakuna ubishi kuwa gharama kubwa imetumika kukarabati uwanja huo na kuuletea heshima kubwa nchi. Sasa Leo inaonekana...
6 Reactions
17 Replies
971 Views
Inaonesha wazi anayechukua picha ni mshabiki wa yanga Kama si mwanachama, kwani amerusha picha za yanga wakiwa chumba Cha kubadilishia zaidi ya ×10 wakati akirusha za Simba mara 1. Hii...
1 Reactions
4 Replies
619 Views
Back
Top Bottom