Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa kile kipigo cha aibu timu yetu ya Simba ilichopata mbele ya mpinzani wake, itakuwa jambo la busara kwa viongozi wote wa bodi ya wakurungenzi ya Simba wote kujiuzuru,wakiongozwa na Abdala...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Menejimenti imechanganyikiwa Rais wa heshima kachanganyikiwa Benchi la ufundi limechanganyikiwa Wachezaji wamechanganyikiwa Wanachama wamechanganyikiwa Mashabiki wamechanganyikiwa Wachambuzi...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Hakuna asiyefahamu kuwa hivi sasa pana mgao wa umeme nchini hivo nawaba sana sana wachambuzi wetu wa michezo radioni kuipa heshima ligi yetu ya mpira wa miguu. Kipindi kinaanza tatu...
1 Reactions
9 Replies
650 Views
Toka kichapo Cha mbwa Koko makolo mnaongea Kama wehu ebu acheni kuweweseka,ni nini hasa sababu ya kutepeta wakati mvua mali yetu?ni Nini hasa 1.uchawi ,pale walipoonekana Yanga wanamwaga maji ya...
3 Reactions
2 Replies
435 Views
Yenyewe ndio ilisajili garasha kipa Ayoub kwa Bilion 3. Pesa iliyotosha kabisa kumotisha kikosi kizima mwaka mzima. Yenyewe ndio iliyompangia kocha timu muda wote. Yenyewe imeshindwa kumotisha...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
2 Reactions
4 Replies
414 Views
MACHO na masikio yote ya mashabiki wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa katika mchezo mkali na wa ‘Derby ya Kariakoo’ utakaozikutanisha Simba itakayokuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin...
9 Reactions
94 Replies
4K Views
#TANZIA:Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo ametoa salamu za pole kwa familia ya Bw. Girimaru Sindano (36) mkazi wa Kijiji cha Iharara, Wilaya ya Serengeti aliyefariki baada ya Timu...
1 Reactions
7 Replies
779 Views
Mwanzoni ilikuwa dhahiri miongoni mwa mashabiki wa Simba kutomkubali kocha wao. Kufuatilia timu kutocheza vizuri na kuruhusu goals ktk mechi nyingi, wengi walipenda kocha atimuliwe. Ghafla siasa...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri. Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja. Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Yes pale Simba wamevurugana haswa wamevurugwa na kichapo kizito cha magoli matano kutoka kwa Yanga. Wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewana kabisa huyu akiambiwa lete ndoo yeye analeta...
2 Reactions
4 Replies
669 Views
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali. Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukweli mchungu lakini ni dawa endapo utafanyiwa kazi japokua unaumiza mioyo ya watu. Nilimsikia Robertinho akihojiwa Tena aliulizwa na mwandishi '"kwa Nini unapata matokeo lakini timu haichezi...
17 Reactions
73 Replies
4K Views
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu...
12 Reactions
114 Replies
10K Views
Roberto Oliveira ndie Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, ameagana rasmi na Vipers! Muda wowote atatangazwa kuwa Kocha wa Simba.
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Muda sasa wa kuangalia mechi bora (mambo ya NBC hapa hayahusiki) mechi inapigwa muda huu saa 21:00 Karibuni kwa updates
6 Reactions
164 Replies
8K Views
Hizo tarehe zote hakuna mwanachama/shabiki/mpenzi wa either Simba or Yanga anapenda kuzisikia. Mwaka 2012 tarehe 6 ni tarehe ambapo Yanga alipokea kisago kizito kutoka kwa Simba na miaka 11...
3 Reactions
5 Replies
330 Views
Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom