Yaan makocha wote hamuwaoni muongee na Nabi, mtu ambaye amekuwa na ukaribu mno na viongozi wa yanga, nyie viongozi ni Yanga ni nini? Mbona mna mambo ya ajabu sana nyie
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi ya derby na kuachia jukumu hilo kwa timu mwenyeji pekee...
Ni sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba...
Kongolee kwa bwana mdogo Clement Mzize kwa kiwango kizuri alichokionesha hakika huyu ndiye Mrithi wa John Bocco the living legend.
Katika mchezo wa Dabi katika yale magoli matano Basi bwana mdogo...
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno...
Uongozi wa Young Africans ukiongozwa na Rais wetu Eng. Hersi Said pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Ndg.Alex Ngai pamoja na baadhi ya wachezaji wetu, leo wametembelea kituo cha Watoto wenye...
Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki?
Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda...
Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza...
"Niliwauliza viongozi wa Simba Sc huyu kocha ametoka timu gani wakaniambia ametoka Vipers ya Uganda, niliwaambia mbona Vipers ni timu ndogo sana sisi tunataka kocha mkubwa sio kocha wa kutoka...
Jeff lea ni muongo anadanganya eti kuna slight favourite akimaanisha katika mtanange huo hatakuwepo "underdog" MWONGO ukiishakuwa na slight favourite maana yake tayari unae "underdog"...... Jeff...
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya...
Disemba 3,2019 aliyewahi kuwa kocha wa Simba Patrick Aussems aliandika ujumbe wa kuwashukuru na kuwaaga wapenzi na mashabiki wa Simba na Watanzania kwa ujumla kwa wakati wote waliokuwa pamoja...
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo...
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya...
Je, Simba SC kutolewa na Al Ahly SC ilipaswa kuwa story kubwa?.
Majibu ya swali hili yanaweza ibua mijadala mingi sana, ambayo si yataleta tofauti kwa mashabiki (watu kushikana mashati) bali...
Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi.
Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo, kocha aliyeshindwa club nyingine. Hii ni dharau ya hali ya juu sana...
Wakati Yanga ikiwa ugenini kesho kuikabili Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amewataka mashabiki kusimama dakika ya 5 kwa ajili ya...
Timu ya Simba imesema yaliyopita sindwele sasa inaganga yajayo, dhidi ya mchezo wake na Namungo Novemba 09, 2023, utakaopigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, ambapo Meneja wa Habari...
Habari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67
GW 1 Top 10
Top 10 after GW 2
GW 5 msimamo
Gw 11
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.