Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora,
Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo.
Ni kweli?
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo...
Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu.
Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji...
Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana.
Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa...
Leo picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha bodi ya wakurugenzi Simba imekutana kufanya kikao chake kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, kikao hicho kimeonyesha kuwa baadhj ya...
Kama mliangalia vizuri, musonda alivyotolewa akaingizwa mzize. Alimlalamikia sana Gamondi, lakini mzize alipofunga Musonda alienda kwa Gamondi na kumpongeza kwa kumkumbatia, huo ndio uanamichezo.
Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo.
Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane...
Hili I Ni bandiko kwa ajili ya kukusanya maoni , mawazo, mitazamo, ukosoaji, pongezi kutoka kwa wanasimba na wadau wa futiboli kwa ujumla.
Unakaribishwa kuweka maoni yako hapa ukijita katika...
TFF na Bodi ya ligi mkishakusanya pesa zenu za mapato mkatia kibindoni Basi hamuangalii/hamfikilii ni namna gani wachezaji wamevuja jasho katika mchezo mgumu wa Derby ya kariakoo.
Kabla ya mchezo...
Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili...
Hakika soka letu kivyetu vyetu leo nimeshuhudia kioja cha mwaka kama sikosei ni Semfuko mchezaji wa Coastali kapewa njano mbili bila kupewa nyekundu, Kwa kifupi huyu refa wa leo alikua na...
Klabu ya Azam Fc imesikitishwa na kitendo cha Klabu ya Simba Sc kufikia makubaliano na aliyekuwa Kocha wao Roberto Oliveira maarufu kama Robertinho aliyepewa mkono wa kwaheri mchana wa leo...
Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo...
Ndugu mashabiki wa Simba na Yanga zile jezi za Yanga zilizokuwa zinasubiliwa Kwa Hali na Mali na mashabiki wote wa Simba na Yanga hapa Tanzania zimetoka.
Nyuma zimeandikwa 5-1 [emoji23][emoji23]...
Nimeangalia mechi zote yanga atatangaza ubingwa akiwa na mechi kadhaa mkononi.
sababu timu pinzani zote ni dhaifu kwenye Nbc ligi hazina malengo wachezaji wao wamejaa ushamba.
Haiwezekani...
Yes Azam 2 Hd kuna game inaendelea michuano ya vilabu Afrika wanawake kule kwa kina Pacome fundi Ivory coast na gemu ya Sasa ni dhidi ya Jkt Queen na timu kutoka Ivory coast wenyeji mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.