Hawa ndio wazee tunaowategemea kuchukua uningwa na kuishinda yanga, Angalia pale mzee Ntibazonkza, Mzee Chama,Mzee Bocco Mzee Mzamiru, Mzee kapombe maaana kapombe mm nna miaka 31 kipindi nasoma...
Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa.
Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na...
Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa).
Hizi...
Hawa wote ni makipa bora sana nchini mwetu ila kuna vigezo vya kuwa bora zaidi ya mwingine.
Natumai wote humu ni wana michezo kwa tofauti hii mnisaidie nani golikipa bora kati ya manula na...
MAP - Max, Aziz Ki na Pacome
Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea...
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona...
FT Simba(mwenyeji) 1 Namungo(Mgeni) 1
Narudia kusema tena na ntazidi kusema Ingekuwa ni Simba timu pendwa ya Baba/TFF wangekutana na ratiba ile ya yanga wangedondosha pointi zote washukuru TFF...
Mara baada ya mchezo wa leo kuisha kwa sare ya bao 1 1, nimekaa chumbani kwa dakika 30 nikimfanyia assessment kocha Robertinho kwa kile nilichokiona leo pale uwanjani Misri.
Kuna baadhi ya...
Mechi Kati ya Simba na Namungo imemalizika Kwa Sare ya 1-1.
Kwangu kilichonifurahisha ni jinsi Mwamuzi wa Kati na Mwamuzi wa 4 walivyojitahidi kutunza Muda wa mchezo.
Kumbe marefa mnaweza...
Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati...
Baada ya kocha Robertinho kusimamishwa kazi, Kuna tetesi zipo kuwa Kuna wachezaji waandamizi watano nao watafukuzwa.
Mzee wa Propaganda NALIA NGWENA najua huo ni uzushi na ni mbinu pekee kwa...
Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe...
Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameomba kuungana katika nyakati hizi ambazo kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale tangu kumalizika kwa Derby Ya Kariakoo Novemba 5, 2023.
Kupitia ukurasa...
Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema:
"Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard...
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi
Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini?
Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa...
Baada ya Mnyama Simba Sc kupokea kipigo cha goli 1-5 dhidi ya Wananchi Yanga Sc, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa wikiendi iliyopita
Wazee wa Klabu ya Simba maarufu kama...
Tangu mchezo umeanza mwamuzi alionekana kupanic na kujaribu kuwatisha wachezaji wa Coastal.
Binafsi niliwaeleza wadau kuwa hii mechi ingemsababishia mwamuzi kuadhibiwa na yeye alionekana kuwa...
Ukiwa unafuatilia Kwa makini uchezeshaji wa Waamuzi wa soka Tanzania, Mechi atakayochezesha Mwandembwa itakupa mengi ya kuandika. Si Mechi ya Jana pekee (Coastal Union Vs Yanga) ila ni karibu Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.