Ameandika @georgeambangile
IT IS WHAT IT IS ...!
Yani hii mechi unaanzia wapi kuichambua ?
[emoji1593]Denis Kitambi kwenye mahojiano na Gift Macha kamaliza kila kitu , amesema " kabla ya...
Timu 4 zitaongezeka kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kuanzia msimu wa 2024/25, ambapo timu 2 kati ya hizo zitatoka kwenye ligi mbili zilizofanya vizuri kwenye michuano hiyo msimu huu...
Mfanyabiashara kijana na mwenye mafanikio makubwa nchini, Mohammed Dewji amesema angependa kuwekeza Simba ili kubadili mfumo.
Dewji maarufu kama “MO”, amewaambia waandishi wa habari katika...
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.
Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na...
KUTOKA KWENYE MAKTABA
"Asanteni mashabiki wa Simba. Nawatakia kila la kheri. Ili Simba ikue, lazima watimue waongo na watu wasio na elimu kwenye bodi ya wakurugenzi." Kocha Patrick Aussems...
Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu.
Ni muda sasa muda...
SSC niwasaidie kitu.
Mpira wa sasa upo kisayansi zaidi kuliko propaganda. Data hazidanganya. Namba hazidanganyi. Mpira ni Sayansi.
Somewhere somehow SSC ikae chini ijitafakari upya na sayansi...
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo...
Tff hawa wachambuzi wanetokea wapi ni faida yao kwa mpira wetu?
Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu. Wanawafanya waamuzi wa mchezo huu kutekeleza majukumu yao kwa woga...
Mi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda...
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.
Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na...
Wakuu poleni kwa kipigo, ni muda sasa Matola atupishe kwenye timu yetu, yeye ndio sumu. Kwanini makocha wakuu wote wanaondoka yeye anabaki? Viongozi mjitathimini.
Haya Mo Dewj aliahidi kutoa zile...
1. Inonga
2. Chama
3. Kapombe
Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao...
Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka...
Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5,
Leo hii umetumika uwanja wa uhuru...
Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5?
Kikosi cha Yanga
Mchezo...
Ninaona katika mitandao huyu mzee anajitokeza kutoa ushauri mbalimbali katika taharuki inayiendelea Simba.
Ninavyojua huyu jamaa ni mmoja wa watu wasio na ushawishi kwa mashabiki hata kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.