Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Live 8 November 2023 Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI wenyeji wa michuano hii ya Champions...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
11 November 2023 LIVE Sporting Casablanca 4 - 1 JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 https://m.youtube.com/watch?v=drY_F-vulPI Kutoka uwanja wa San Pédro, Ivory Coast mechi hii ya...
2 Reactions
3 Replies
941 Views
Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Yes lazima jamaa apewe kongole zake baada ya makosa mawili matatu pale mwanzoni kwa kuwaleta kina Yikpe, Sarpong, Urikhob, Juma balinya na kushindwa kutoa matokeo chanya mwamba alijipanga na...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Mmesikia ya Okwa, vipi mpaka sasa wamesajili mchezaji gani zaidi ya tetesi, wamekuja na kitambulisho cha Gsm. Hawa watu hawapo serious kabisa rahisi sana kuwaongoza kwenye magrupu yao zimejaa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
RAGE: SIMBA NENDENI KWA ENGINEER AWAFUNDISHE KUSAJILI. “Usajili wa dirisha dogo unakuja, wakae watafakari waangalie wachezaji wa kusajili. Nawasisitiza viongozi, waangalie sana umri wa...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
UONGOZI UNASEMAJE ?? Nilichoolezwa ni kuwa Uongozi wa mbugani unafanya mchakato wa kubadilisha utaratibu wa malipo ya posho (bonus) za wachezaji, Kutoka kwenye utaratibu wa malipo ya bonus kwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo. Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums. Cc LIKUD Kumbe...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi)...
14 Reactions
678 Replies
65K Views
Jamii forums jukwaa la sport current limetawaliwa na watu unprofessional kwenye soka tofauti na zamani ambapo kulikuwa na critical thinking Tujikumbushe members wenye tabiri za soka zenye gundu...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwenye mechi za UEFA hivi vilabu vimekuwa vikirushiwa dollars za bandia na dhahabu za bandia uwanjani kuashiria kuwa sio timu za mpira Mashabiki wamekuwa wakizilenga hizi timu kwa kuzifanyia...
1 Reactions
7 Replies
513 Views
Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa. Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli. Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa? Sent...
2 Reactions
4 Replies
557 Views
Kuna mengi nimekuwa naelezea humu ndani kwa muda mrefu ila nadhani nilikuwa sieleweki ila nadhani sasa mtanielewa. Yanga haiwezi kumfunga Simba goli 5 katika mazingira yoyote ya kawaida na pamoja...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa...
7 Reactions
89 Replies
7K Views
Ila kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu...
20 Reactions
41 Replies
4K Views
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na...
2 Reactions
6 Replies
770 Views
Back
Top Bottom