Leo kunapigwa mchezo wa Fainali ya African Football League mkondo wa pili.
Ni Mamelodi Sundowns Vs Wydad Athletic Club saa 10:00 jioni katika dimba la Loftus Versfeld jijini Pretoria.
Katika...
Wahenga wana kauli yao wanadamu tumeumbwa kusahau na siku hazigandi huwezi kuamini ni Jumapili iliyopita tu Simba alikua vyuma vitano(5).
Ilikuwa ni Jumapili ambayo hakuna mwanasimba yeyote yule...
AFRIKA KUSINI: SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewazawadia mashabiki wa timu ya Simba tuzo ya mashabiki bora wa michuano ya AFL.
Tuzo hiyo imepokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya...
Baada ya kupoteza kwa Azam goli 3 Leo tena mashujaa wamepigwa goli zingine tatu kutoka kwa Singida Big Stars.
Mashabiki wamekiri kuwa team yao Sasa imepoteana.
RANGA CHIVAVIRO YEYE NI YANGA TU!!
"Ni kweli tunaendelea na mazungumzo na Yanga juu ya Uhamisho wa Ranga Chivaviro, mchezaji aliyefanya Vizuri kwenye michuano ya CAF ni wazi hawezi kukubali...
Kumezuka mtindo wa baadhi ya Mashabiki kujiona kwamba wao ndio Mashabiki wenye haki au bora au kindakindaki sana kuliko Mashabiki wengine.
Kila jambo wao wanataka kuliongelea hata kama hawana...
Wakuu,
Poleni Ni majukumu ya kila siku,
binafsi baada ya kuona Simba almost misimu mitatu hatufanyi vizuri kwenye USAJILI/SCOUTING tofauti na hata watani zetu (Yanga).
Nimetafakari Sana juu ya...
Hadithi za watu wa kale walikuwa wanasema wakoloni wanapotaka kufukia mali zao walitumia mazindiko ya kuwazika watu hai,sasa hii karne ya sasa GSM na Hersi wamewamaliza na kuwachukulia akili zao...
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.
Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.
Kitu alichokosea, ameanza...
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.
Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio...
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba SC imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe.
NALIA NGWENA kila nikitazama...
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022...
Anaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo.
Mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya...
Watu wenye akili na mipango ya soka ndio wanatakiwa kuwa hivyo, Yanga inaweza kucheza fainal ligi ya mabingwa kwa sababu viongozi wake wameshaimaliza ligi ya bongo, wamejua ligi ya bongo ni...
Habar wakuu,nimeona tuchanganue upeo wa viongozi wetu wa klabu ya simba na yanga ili tupate mwangaza kidogo ni uongozi wa klabu gani upo makini
Kama unavyojua ,Anza kama hivi;
wakati raisi wa...
Juhudi na kujituma kwa jasho na damu ndiyo mafanikio makubwa kwa Fiston kalala Mayele "The Vibrater".
Mayele alikuja Yanga SC baada ya Yanga SC kumuuza Tuisla Kisinda kwenda RS Berkane.
Mayele...
Zikiwa zimesalia wiki tatu kuanza kwa michuano ya Ligi ya Soka ya Afrika, Ushiriki wa Mamelodi Sundowns katika michuano hiyo upo shakani baada Bodi ya Ligi kuu Afrika Kusini (PSL) kuwataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.