MWAKIBETE CUP2023 HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA JIMBO LA BUSOKELO
Mashindano ya Kombe la Mwakibete CUP 2023 hatimaye yamefikia hatua ya Nusu Fainali ambapo yanayotarajiwa kuendelea kutimua vumbi...
Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za...
Kama mnavyojua timu za uswahilini haziishi heka heka.Ushindi iliopata yanga ni wa kihistoria.Hawakuwahi kuifunga Simba Sports club goli nyingi kama hivyo.
Ushindi mkubwa waliishinda Sunderland...
UCHAMBUZI WA KISHIRIKINA KUFUNGWA KWA SIMBA.
Na Yericko Nyerere
Hadi Siku 6 kabla mechi Simba ilikuwa imeushika mchezo vizuri nje ya Uwanja. Kuanzia Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi...
Wachezaji walioitwa kikosi cha Taifa U18 wapo 34, wachezaji wa Simba wapo wawili tu na Yanga hamna mchezaji hata mmoja.
Azam ndo wapo wengi, wakuu hii mnaonaje hivi vilabu vyetu vikubwa...
... 🙆 | 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗘𝗟𝗢𝗗𝗜
"Nilipokuwa VIP kwenye fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE, Raisi wa FIFA Gianni Infantino aliniambia timu yenu (Simba SC) inacheza mpira mzuri zaidi ya wanaocheza...
Wasalaamu
Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.
Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani...
Jana kwenye michezo, M/kiti wa simba alieleza wazi kuwa anakusudia kuwa na kikao na kamati kuu kisha wanachama wa simba ili kuomba baraka ya kujitoa kwenye ligi kuu bara, naomba wana JF mliopo...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo.
Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo...
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.
1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we...
Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imeelekeza bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazeti la Mwananchi kufuatia kesi ya madai inayomkabili mahakamani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anaitakia Karume Boys kila la heri timu ya taifa ya kandanda ya Vijana ya Zanzibar chini ya Umri wa miaka 15...
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa.
Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa...
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa...
Habari wapenda "futiboli".
Kabla ya kuajiriwa Robertinho alikuepo Zoran ambaye hakudumu na Simba kwa muda mrefu akatimka zake.
Moja ya sababu kubwa zilizomuondoa Zoran pale unyamani ni kuwakataa...
Klabu ya Burnley Football Club inayoshiriki Ligi Kuu ya England [emoji1022] ,ikiwa chini ya Vincent Kompany imeonyesha nia ya kunasa saini ya Beki wa kulia wa Mamelodi Sundowns Khuliso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.