Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino 😆😆😆😆😆 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini...
2 Reactions
9 Replies
787 Views
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Kuna timu yenye shughuli kuliko Yanga hapa nchini!? Kuna timu ambayo kila kitu kwao kinaweza kuwa tukio kubwa kuliko wao? Yes, hata vitu tunavyoviona kama vya kawaida na vyepesi wao huvigeuza...
14 Reactions
76 Replies
3K Views
Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam Wana jf Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF toka jana nilikuwa naumiza kichwa kutokana na tuzo tuliyopata Watanzania ya Ushabiki Bora wa michuano ya Super League lakini nimefanikiwa kupata...
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba; 1. Manura 2. Kapombe 3. Zimbwe 4. Mzamiru Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Uyu mchezaji wa Mamelody amekuwa akinichanganya sana ni mtu wa ku shape CHARACTER SANA Anaitwa AUBREIN MODIBA Mwenye anajua number anayocheza ananiambia maana kuna Mda namuona kama beki kuna Mda...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa Najua mtapinga...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Nilishangazwa kuona timu anakabidhiwa Daniel Cadena ambaye ni kocha wa makipa wakati Kuna kocha mbobevu na mwenye uzoefu mkubwa katika michuano ya ndani na kimataifa si mwingine ni kochaJuma...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu...
12 Reactions
108 Replies
8K Views
Aisee uyu bishoo wa YELLOW NATION [emoji169] BONGANI ZUNGU anakojoa pazuri sana kama kuna mchezaji unaemjua ana mke MZURI kumzidi jamaa mpost tuone ila zungu ni [emoji119]
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Pendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi. Kila la heri Lunyasi
3 Reactions
14 Replies
650 Views
Nawapongeza sana masandawana kwenye kupoteza muda baada ya dk za nyongeza.. hawa waarabu ni wapuuzi sana na ndo tabia yao kila siku. Mfano kipindi cha kwanza walikua wanapoteza muda kipumbavu...
26 Reactions
60 Replies
4K Views
Baada ya Mashindano mapya na yenye Heshima Kubwa sana Barani Afrika ya African Football League (AFL) Kumalizika leo hatimaye Mashabiki wa Simba SC wametwaa Tuzo ya Kipekee ya kuwa ndiyo Mashabiki...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Mzee kilomoni aliona mbali sana na alipinga janja janja ya mohamed dewji kipindi kile cha mabadiliko ila wana-simba wengi walimbeza na kumuona msaliti na anayekwamisha mabadiliko Ukweli ni kwamba...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Wana-JF, Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu. Kama kuna Kolo anayebisha basi...
1 Reactions
5 Replies
747 Views
Wadau wa soka Tanzania salami kwenu. Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda...
21 Reactions
102 Replies
10K Views
Back
Top Bottom