Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga.
Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na...
Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa...
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa
Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu...
Karibu mashabiki na wafatiliaji wa NBA, ligi kuu ya kikapu nchini Marekani.
Kona hii tunatajulishana, discuss na kupata info mbali mbali zinazoendana na NBA.
Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na...
Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk.
Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui
Upande...
Kubali kuwa wewe sio mtu wa mpira, wewe ni mwanasiasa, ulikuwa mbunge wa kilwa kaskazini ukashindwa na vedasto ngombale wa Cuf ukaenda kuwa msaidizi wa PM mambo ya siasa, ukaondolewa ukaingia...
Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa.
Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki...
Wachezaji Pacome, Yao Yao wametoka Asec, kwa vyoyyote vile Yanga mna ukaribu na Asec, jamaa wanakuja kucheza na timu mliyoipiga mabao 5 hadi imechanganyikiwa na haielewani tena.
Nawaomba wapeni...
“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona, kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga, Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV“
“Mwenye...
Kwema?
Hivi karibuni Kumekua na minong'ono ya hapa na pale, huku tena bila aibu kuna wazee ambao ni wakongwe wa hizi derby wanajitokeza wakidai club ya wanarunyasi walipwe fidia ya takribani mill...
Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au...
Wakuu mpo?
Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya...
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.
Africa Club Ranking by IFFHS (Ist...
Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo...
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya...
Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa...
Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round).
Hakika mzunguko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.