Zimepita Jumapili kama tatu hivii since Simba kuchezea kichapo kikali cha magoli 5 kutoka kwa Yanga pale Lupaso stadium huku kipande chetu wanasema ilikua ni fedheha.
Bila kukisifu kitengo cha...
Tanzania ( Taifa Stars ) ikifuzu Kombe la Dunia lijalo MINOCYCLINE naahidi Kujisaidia Haja Kubwa ( Kupupu ) kutoka hapa Kwetu Kisiwani Pemba ninapoishi hadi Chamwino Makao Makuu ya Nchi Mkoani...
Ni mchezaji ambae ni mtoto wa mjini, ndie mwenyeji wa wachezaji wengi wageni wanaofikia hapa kwetu hasa kwenye maisha binafsi ya wachezaji nje ya mpira.
Anaweza kuongea vizuri na kuinfkuence...
Kwako Juma Mgunda. We ni kocha mzawa na umejitengenezea heshima yako katika soka la Tanzania kwa siku za karibuni.
Ushauri wangu kwako usikubali kuwa kocha wa deiwaka kama Simba wanavyokutumia...
Leo Novemba 19, 2023 klabu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kuibuka na ushindi wa 4-0 huku Leandre Essomba Onana akiwa miongoni mwa wafungaji.
FT: SIMBA SC 4-0 DAR CITY...
Emmanuel Mwandembwa amefungiwa miezi 6 baada ya kushindwa kumudu mchezo kati ya Yanga na Coast Union
Refa huyo alifanya matukio ya kutatanisha yakiashiria kuwa alipokea bakshish kutoka kwa WALOZI...
Bila kificho timu inayoongozwa kuchukiwa na kutafutwa na TFF hii ya sasa ni Yanga nakumbuka speech moja ya Rais alidiriki kusema Rais wa TFF ni Simba lia lia bila shaka jamaa anaenda kuprove...
Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa...
Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance...
Pale Baleke sio wa kukosa magoli. Ile ilikuwa huruma kwa watoto wadogo kisoka. Alikuwa na kila hali ya kupiga hat trick zake. Hii kwa afya ya Uto isingekuwa sawa.
Happy Birthday Jean Jini Baleke
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".
Kibaya zaidi fupa hilo limekwama na...
Leo Manula alikuwa mchangamfu mwenye bashasha na furaha sababu alikuwa nyuma ya ukuta imara wa yanga. Nadhani huko alipo anatamani asajiliwe Yanga ili awe salama kutoka na ukuta mzito tofauti na...
EDO: SIMBA KUMFUKUZA KOCHA NI KUWEWESEKA NA KIPIGO.
"Majuzi Simba wamefungwa bao tano na watani zao,nimekumbuka mengi.Nadhani lilikuwa ni hitimisho la anguko lao dhidi ya watani wao.Kipimo cha...
Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha.
Kama ungeambiwa ni namba...
Hii ni hoja ya shabiki lialia kutoka msimbazi ila baada ya game mpaka leo sijui kapotelea wapi ndugu yangu Kaghambe popote ulipo toka uje kusema neno hapa
Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa...
Ule mchuano mkali uliodumu kwa takribani miaka 18 wa wanasoka nguli kuwahi kutokea duniani wenye vipaji vya hali ya juu hatimaye unaelekea ukingoni.
Si mwingine bali ni mchuano kati ya Lionel...
Cristiano Ronaldo moja ya mafanikio yake makubwa ni kufananishwa na Lionel Messi lakini kiuhalisia huyu Lionel Messi ni wa level za Pele na Maradona.
Huyu Ronaldo ni wa kulinganishwa na akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.