Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama. Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid. Ninajiuliza...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Mtu kama huyu hawezi kuja kuiacha Yanga. Biblia inasema. ".......angali bado mdogo naye hataiacha hata siku za uzee wake."
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka chanzo kinachoaminika kwamba SUPU DAY ya leo ni ukamilishaji wa maelekezo ya mganga wa yanga ambapo baada ya ushindi wanatekeleza maagizo hayo kwa jina la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani Akizungumza na waandishi wa...
12 Reactions
72 Replies
3K Views
Naandika kabla ya mechi ya fainali, Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam, Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W). Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil. Mwaka jana mwezi...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa...
13 Reactions
138 Replies
10K Views
Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa...
10 Reactions
76 Replies
18K Views
Wakuu habari za mchana? Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu! Nimekuwa mfatiliaji Sana wa kipindi cha Azam sport 3 cha rally kwa takribani miaka 3, Pamoja na yote mimi kuna madereva nao wakubali Sana kwa Tanzania Mimi ni shabiki wa...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1. Hakika Eng Angefahamu msala...
4 Reactions
20 Replies
917 Views
Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa "Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako...
1 Reactions
1 Replies
685 Views
Straika wa Bayern Munich, Harry Kane ameendelea kuwa na mwanzo mzuri katika klabu yake mpya baada ya kufikisha magoli 17 katika Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundeslia) ndani ya michezo 11 Msimu wa...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Kama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
8 Reactions
76 Replies
20K Views
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Mashabiki wa hizi timu kubwa mbili hapa Tanzania wanatofautiana katika maeneo haya; 1.Timu inapofanya vibaya iwe wachezaji hawajitumi au kocha anazingua, Mashabiki wa Simba huwa wakali hata...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
1. Ally Salim 2. Israel Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Chemalone Fondo 5. Henock Inonga 6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Jose Louis...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom