Wewe Ceo wa bodi Almasi Kasongo mbona mshamba sana wewe jamaa, hiv kweli Simba itegemee promo ya Yanga hadi ulalamike Clouds kuwa Yanga hawajafanya promo kwa mechi hiyo, Simba haihitaji promo ya...
CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023.
Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki...
SIMBA SC:
Tarehe 20.03.2023 Simba SC waliingia mkataba na VUNJABEI wenye thamani ya Bilioni 2 tu kwa muda wa Miaka miwili (Yaani Misimu Miwili)
VUNJABEI alitengeneza jezi kwa misimu miwili yaani...
Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania.
Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati...
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:
1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben...
Usiku wa leo, kuanzia saa 3:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or pale katika ukumbi wa Theatre du Chatelet jijini Paris.
Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa...
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa...
Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji...
their personal abilities
Kibu Denis ni bora kwa speed and shooting
forcing. Na heading
Maxi zengeli ana football intelligence saana
Ni bora kwa passing
Dribbling
Finishing
Shooting
Heading...
Habari wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu.
Binafsi ninahuzunishwa sana na...
Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na...
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club...
Haika tena Old Trafford sio theatre of dreams bali imekuwa ni theatre of nightmares.
Ni kweli glazers wanazingua, ila tukumbuke ETH ameshatumia 400ml katika usajili, hii 400ml ambayo karibia...
Hari za wakati huu wapenzi na mashabiki wa mpira Tanzania na duniani kote kwa ujumla,
Leo ningependa nitoe maoni yangu kuhusiana na Manchester United kama ifuatavyo:–
Mpira wa sasa ni tofauti na...
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.
Nikiwa kama...
Najua wengi Jana tuliuangalia mpira wa Mamelody vs Al AHLY lakini ni wachache tulioangali Kwa jicho la tatu na kung'amua vipaji haswa katika kikosi kile.
1. Kuna beki mmoja wa kati kitasa haswa...
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh 2,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani baada ya timu ya Ihefu kufunga bao la pili.
Pia kwa kosa la maofisa wa benchi la ufundi wa...
Mechi ya kwanza ya nusu fainali inayowakutanisha wapinzani wawili Al Ahly na Mamelody.
Kwenye h2h takwimu zinambeba Mamelody
Mechi 5 za mwisho walizokutana, Al Ahly hajapata ushindi wowote zaidi...
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake.
Neymar alijiunga PSG kwa rekodi...