Siku hiyo ndiyo mtajua kuna tofauti tofauti Kubwa kati ya Kumkaribisha Mgeni 'Kienyeji Kienyeji' katika Park Yard ya Training Ground na Kucheza Kandanda Safi la 'Pira Objective' na ile ya...
Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia...
Baada ya 1st leg kumalizika kwa Mamelody kuibuka na ushindi wa bao 1-0 leo ni mchezo wa pili wa marudiano.
Mechi inayarajiwa kuwa ngumu kwa dakika zote.
Muda wa mechi ni 21:00
Kikosi cha Al...
Ukinipa Joyce lomalosa na kibwana Shomari Basi NALIA NGWENA nitakwenda na kibwana Shomari bila wasiwasi.
KIbwana Shomari ni moja kati ya kitasa kilichochongwa na Prof wa mpira na si mwingine Prof...
Team ya wydad Casablanca imetinga hatua ya final ya AFL baada ya kuiondoa Esperance ya Tunisia
Sasa Wydad itamngoja mshindi baina ya Al Ahly na Mamelody
Uzito wa mechi unaonesha wazi kabisa team...
Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla,
NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu...
πππππ πππ₯ 11π ππ₯π₯ππππ¦π
Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.
1:Mfungaji bora Caf confederation cup.β
2;Kipa boraβ
3;Goli boraβ
Hapa bado ile ya Club...
Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji jana alitangaza kuteua wajumbe wa bodi ya Baraza la Ushauri la klabu hiyo.
Kufuatia uteuzi huo, mchambuzi wa soka Geoff Lea amehoji Wajumbe hao wanaenda...
Klabu ya Simba SC imetangaza kuingia mkataba wa miaka (3) na kampuni ya Serengeti (SBL) Plisner Lager wenye thamani ya Tsh 1.5 Billion.
"Ni ubia wa nguvu kabisa, ubia wa Simba wawili. Hii ni...
Toka tarehe 27 October 2023, kampuni ya michezo ya kubashiri betpawa inashindwa kutoa (withdraw) pesa kwa wateja wake.
Changamoto hii mpaka sasa bado ipo, kiasi kwamba kuna baadhi ya wadau wana...
Balozi wa Uingereza leo alizotembelea timu za Simba kule Bunju na Yanga Jangwani, ilipofika aliulizia Makombe na Medali za Kimataifa, kule Bunju hakupata Kombe wala Medali bali Ahmed Ally akawa na...
"Madhaifu makubwa ya Simba yapo kwa Henock Inonga, ni mchezaji anayependa kukokota mpira na kujaribu kupiga chenga ambazo mara nyingi huwa hazina faida kwa klabu kwa maana ya kimbinu."
"Huwa...
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis...
Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia.
Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya...
Wanajf, leo kuna pambano kubwa duniani kati ya Mweusi Ngannou na Mzungu Fury. Ni pambano kubwa na la kusisimua.
Wewe kama mpenzi wa ngumi, ushindi unampa nani?
=====
Muktasari:
Leo Oktoba 28...
Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon...
Fuatilia yanayojiri kwenye usiku wa utoaji tuzo za Ballon jijini Paris, Ufaransa, leo Oktoba 30, 2023.
===
Ballon d'Or ni tuzo inayoheshimika sana katika ulimwengu wa kandanda, iliyoanzishwa na...