Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali...
Ideology na a mastered system hadi sasa havija onekana.
Chemistry ya team, utambulisho na team plan ya hadi sasa havionekani kuwa vimeshawekwa kimkakati.
Usajili wa Antony, ulikuwa ni moja ya...
===
Greatest of all time
Leo ni Sikukuu ya Soka.
Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga.
Simba ambayo...
Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku".
Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad.
Nimeedit huu uzi baada ya...
Ni ukweli usiopingika kuwa kocha msaidizi wa Manchester city mikel arteta atakuja kuwa kocha mkubwa hapo baadae kutokana na vitu vifuatavyo.
1. Kuimudu kwa asilimia zote nafasi ya kumshauri...
N the space of 24 hours for Manchester United:
Reports that the Glazers aren't now selling up
United fans' favourite CB gets injured
3-1 loss to Arsenal
ten Hag calls out £73m Jadon Sancho in an...
Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kuchukua uamuzi huo kutokana na Wanunuaji kutofikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka, ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 (Tsh. Trilioni...
Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri!
Kiufupi ni...
Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga...
Yanga atacheza na El Merreikh katika uwanja wa Kigali Pele ambao Zamani ulikuwa ukifahamika zaidi kama uwanja wa Nyamirambo.
Huu ni uwanja unaotumiwa zaidi na klabu ya Rayon na APR kwa nyakati...
Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila...
Ni wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.
Azam imetolewa na timu kibonde...
Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) limetangaza rasmi tarehe za kuanza kwa mashindano mpira wa miguu maarufu kama African Super League.
Mashindano hayo yataanza tarehe 20 Octoba na...
Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar.
Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa...
Sijui mmetolea wapi hili Jina Kuitwa Timu ya Taifa Uganda GIFT FRED mmewaonaje Waganda yaani mtu hajacheza toka aje anagugumia tu hata kumdhamini mmemuweka benchi wenyewe now mnasema Uongo Kaitwa...
Timu ya Soka ya Getafe ya Spain imemsajili mshambuliaji Mason Greenwood kutoka Manchester United kwa mkopo kwa Msimu mmoja
Greenwood alisimamishwa Kucheza ligi Kuu ya Uingereza EPL tokea Januari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.