Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana...
• Shaffih Dauda: Yanga wana timu bora sana msimu huu.
• Edo Kumwembe: Yanga bado wana timu imara sana kwenye Ligi yetu, maingizo mapya kila mtu ameona, yule Yao apunguze kuwa serious.
• George...
Huu uzi uwe maalum kwa wale wote wanaoidiss klabu ya Yanga na sasa waonapoona mafanikio watasema yote yaani wataukubali mziki mnene.
Jamaa wakifunga goli hata 5 wanakuja golini kwako kama nyuki...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa...
Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe.
Mpira wa Argentina tangu unaanza...
Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.
Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote...
Klabu ya Young Africans iliyo Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana.
Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mira wa Miguu (FIFA) baada ya...
›› '𝙒𝘼𝙉𝘼𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙒𝘼𝙏𝙐𝙇𝙄𝙀'
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa...
Mimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuangalia izi mechi za yanga kutokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio...
Klabu ya Yanga bado inatumia picha ya Fiston Mayele kwenye cover ya ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Facebook ilihali nyota ni mchezaji wa Pyramids.
Hii imekaaje kitaalamu, ni sawa au sio sawa??
Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya.
Leo yamechezwa makundi na 16 bora.
Walioingia 16 bora ni hawa.
RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA...
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.
Yanga...
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili...
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq...
Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa.
Tukio...
Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza...
Draw ya Uefa Champions League inafanyika sasa kutoka jijini Monaco nchini Ufaransa
Jiunge Nami kukuletea Draw hiyo
Je chama lako litapangiwa na nani?
Group A: Bayern Munich, Manchester United...
Hizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE
=>Medeama/ Horoya
=>Big bullet/ To Mazembe
=>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas
=>Real...
Kama ilivyokuwa kwenye mkeka wa Teuzi za Mawaziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali kutoka baadhi ya Waheshimiwa walikuwa bize kuangalia kama wametokea kwenye mkeka huo ndivyo ilivyokuwa kwa wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.