Nachotaka kusema. Ata bila ya mapungufu ya Arajiga Yanga walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda leo.
Lkn Kama mtu wa mpira nilijua mechi itakuwa nzuri nilitaka kuona jinsi Yanga wanavyofungua...
Yanga Wana Timu bora Sana Mechi Ya KMC Mkude, SUREBOY na Mwamunyeto walikuwa Jukwani, mechi iliyofwata waliingia kwenye kikosi moja kwa moja hii ni Players Quality Management kutoka kwa Gamondi...
TAARIFA KWA UMMA
Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo.
---
PRESS RELEASE
RE; COACH HANS...
Ni vizuri pia kuweka kumbukumbu sawa kwa kutunza risiti, ni kwamba mabingwa wa kihistoria Yanga awakwenda kuweka kambi uturuki wala Misri bali waliweka kambi yao pale Avic town kigamboni Dar es...
Tulisha ambiwa tupige picha mapema msimamo wa ligi kabla mambo hayajabadilika
Sasa mambo yashaharibika Kama hukupiga basi subiri msimu wa 2024/2025
Kwa Wanayanga haina haja kabisa.
Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita.
Kukamilisha usajili...
Wawekezaji nawasalimu kwa jina la 1x bet kazi iendele
Nawakaribisha kwenye chanel yangu ya kushibisha mitaa na vijiji kwa odd 2 kila cku
Join hapa 2️⃣ odds⚽️ #mitaa ishibe
Odd ni bure siuzi...
Despite problems such as;
1. inconsistency
2. winning useless matches
3. poor leadership structure
4. talent wasteful club
5. no yearly plans
6. lack of football board members
7. ceo shule hana...
Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates
Kikosi cha team bora Azam FC.
0' match imeanza hapa chamazi
11' Dubeeeeeeee,
Azam wanapata uongozi mapema hapa
35'...
Kwa upande wangu naona ni thank you halali kabisa, Peter Banda aka "wonder kid" ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ila kipaji chake kikubwa hakijaisaidia Simba SC.
Labda ni kutokana na majeruhi ya...
Hakika Sir Alex alikuwa mwalimu wa mpira.
Siku kama ya leo, miaka 12 iliyopita, Sir Alex Ferguson aliiongoza Man Utd kuinyoa Arsenal 8-2.
Ni pambano la kukumbukwa sana. Arsenal ilikuwa chini ya...
Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia...
Huu mpira unatisha paid za hapa na pale na mikakati ya magoli. Mimi Kama shabiki wa wanalunyasi nahamia Yanga.
Nimechoshwa na masimango na maneno ya mo kutusimanga kuhusu hela zake huku tunacheza...
Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele.
Alipokuwa...
Je tumuweke kwenye kundi la kumpa muda? Tumuweke kwenye kundi la waliofeli? Tumuweke kwenye kundi la overrated? Majibu yote mkumbuke ndio kwanza ana miaka 21, twende kazi...
Inasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku...
- Hivi ndivyo Erik ten Hag anakosea, siku zake zinahesabika
Ange wa Tottenham amekuja juzi tu na team inacheza kwa kujuana lakin Man utd hakuna a uniform style.
Team haina confidence, team...
Azam complex ni uwanja wa Azam, kama uchawi unacheza mpira Azam walikuwa na muda wa kufanya kafara zote kama Popoma mkuu anavyoamini uchawi unacheza mpira.
Wakati Yanga wametulia kimya Avic town...
El Merreikh wameondoa kituo cha kazi pale Rwanda baada ya kufuzu hatua ya awali na sasa wamechagua kiwanja cha Morroco kama kituo cha kazi kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga.
El Merreikh wanaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.