Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Al Merrekh ya Sudan baada ya kutinga hatua inayofata wameamua kutumia uwanja wa Rwanda kama nyumbani kwahivyo watakutana na Yanga tarehe 15/9/23. Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchezaji wat imu ya Taifa ya Wanawake ya Hispania, Jenni Hermoso amedai kuwa haikuwa hiyari yake kumruhusu Rais wa Shirikisho la Soka la Hispania (RFEF), Luis Rubiales kumbusu mdomoni baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya wale wale mliowaalika Simba Day ndio watakuwa Washindani wenu CAFCL baada ya kuwaondoa African Sports ya Namibia Kwa faida ya goli la ugenini. CAF CHAMPIONS LEAGUE FT: Power Dynamos 🇿🇲 1-0...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Vita ipo kwenye rasha rasha. Hiki ni kipindi cha kutanguliza migambo. Kuna migambo wanakufa kuna migambo wanajaribu kusogea. Jeshi kamili lipo armory linajikoki
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika dakika ya 7' tu mchezaji Max hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kutoa zawadi kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi wakiwa kwenye style yake ya uchomekeaji wa Jezi.
9 Reactions
192 Replies
15K Views
Amini nakwambia! Unatumia pesa nyingi sana katika timu hii Wachezaji wanalipwa Kwa wakati wanakula Ila sasa wanacheza ovyo ovyo, yaani mchezaji hana nguvu za kukimbia uwanjani ndo nini Fukuza...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Uwiiiiiiiiii 🗣️💛💚Jamani hawa yanga wapo On Fire Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Goli 5-1. Tunawatarajia mazuri kimataifa. Gamondi anayo maono yenu
2 Reactions
7 Replies
308 Views
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
"ROBERTINHO HAMTAKI NGOMA " Inaelezwa kwamba Robertinho hafurahii kumtumia Fabrice Ngoma kwenye eneo la kiungo Mkabaji kwasababu sio eneo lake asilia na yeye anataka kiungo mkabaji asilia hivyo...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku. Mbali na RonaLdo...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Saivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani 1. Uwanja 2. Pesa mishahara minono 3. Kambi...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham. Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya...
3 Reactions
2 Replies
896 Views
Mwenendo wa Yanga tangu msimu mpya uanze unafurahisha. Wamecheza mechi mbili kwenye Ngao ya jamii (vs Azam na Simba) bila kuruhusu goli (ndani ya dk 90), wakaja kucheza mechi ya awali ya ligi ya...
17 Reactions
36 Replies
3K Views
Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Nadhani tumeona yaliyowakuta Azam jana, ila najiuliza ni kwanini timu za Tanzania zikienda matuta na timu za nje michuano ya kimataifa ni lazima sisi tupigwe? Mara ya mwisho kushinda matuta sijui...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed &...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Hao Bahir ni kama Asas tu, hawana lolote, shida yenu walamba askirimu mmeuza uwanja, uwanja huo wameshauharibu watakaocheza kesho, hiyo Bahir ingekutana na Simba ya Fabrice Ngoma, mngeita maji mma...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Timu ya AL Nassr inazidi kujipatia Umaarufu mkubwa Duniani kutokana na Uwekezaji wake kwa namba mbili yaani CR7 na SM10. Hawa viumbe wamejitengenezea Ulimwengu wao ambao unawapa kila...
2 Reactions
1 Replies
781 Views
Uwanja wa Chamazi sio mali yenu tena, mliowakaribisha hadi jikoni wameshauharibu uwanja huo, ndio maana wenzenu wameuchagua uwanja wa chamazi kama home ground, yaani Yanga wacheze uwanja wa...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom