Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee..
Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90'...
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Mkakati wa Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao hadi kukamilika kwake utagharimu Bilioni 31 na utafanyika kwa...
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex
Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi...
Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana.
Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye...
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.
ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi...
Meneja wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Hispania, Jorge Vilda ameshambuliwa vikali na wadau wa soka baada ya kuonekana akimshika vibaya kocha wa kike wakati wa kusheherekea ushindi wa Kombe la...
Wizara ya Utamaduni na Utalii kutoka Jamhuri ya Watu wa China imeiomba Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana katika kuandaa tamasha kubwa litakalohusisha sekta ya Utamaduni na Utalii...
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia...
Nimeshamuongelea mara kadhaa siku za nyuma na nisingependa kurudia saana! Kuna watu hawakunielewa kabisa nadhani jana Nabi kawaonyesha panapovuja.
Kwa kifupi Aziz amebaki kuwa mchezaji wa...
Kipindi cha kwanza ni kama Yanga walicheza wakiwa pungufu. Aziz Ki alikuwepo uwanjani kutimiza idadi ya wachezaji 11 lakini hakuwepo kabisa mchezoni. Ieleweke kiwango kibovu alichokionyesha dhidi...
Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza...
Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki.
Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa...
Naomba kuweka wazi kwanza, mimi ni mwanachama kindaki ndaki wa Dar Young Africans.
Kadi ya uanachama namba: TZDAR03067119
Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye suala la msingi.
Kwenye...
Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe.
Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari...
Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili?
Sasa Phiri...
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa...
Kanuni mpya ya TFF kuzuia udhamini kwa wachezaji inakandamiza maslahi ya wachezaji.
Wiki iliyopita tuliona taarifa ya maboresho ya Bodi ya Ligi Tanzania yanayozuia au kuweka marufuku kwa mchezaji...
Kiungo huyo wa Manchester United, Mason Mount anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Mwezi mmoja baada ya kuumia katika mchezo uliopita dhidi ya Tottenham.
Mount ambaye alisajiliwa kwa Pauni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.