Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo...
Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana...
Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda...
Kutokana na hali kutokuwa shwari nchini Sudan kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya AL Merrikh kutafuta Uwanja nje ya Sudan watakaoutumia kama wa nyumbani dhidi ya Yanga.
Na hii inaweza kuwaongoza...
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani...
Historia huwa haidanganyi hata siku moja. Unaweza ukawa unajiuliza tatiza la Azam FC ni lipi. Mpaka sasa na usiwe na jawabu la swali hilo.
Historia inatuambia kuwa kila nyakati au msimu ambao...
Kati investment nzuri waliowahi kufanya madrid ni kumsajili vinicius toka brazil, alianza kwa kususua sana ila sasa ni bonge la player, ana speed, mbunifu, technical, ana nguvu, aisee yuko poa...
Simba wamekataa kutumia uwanja wa chamazi kwa ajili ya mashindano yoyote yale, wako tayari wakacheze uwanja wa nanjirinji kilwa lakini sio uwanja wa Chamazi, kwa sasa uwanja wa chamazi ni mali ya...
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,
Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.
Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa...
Inanishangaza kumpa kumtafuta kocha mbali huko ambae hata CV yake haijulikani wakati hapa hapa ndani Kuna Makochaambao wapo na wanaweza kupanga koni vizuri.
Sote tunajua mpira wa kibongo nguvu...
Sio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye...
Ameandika @jemedarisaid
MZAHA USIOUDHI.
Msimu uliopita niliandika MZAHA USIOUDHI nikawaambia watu wa Mnyama kupiga picha na msimamo manake huenda isingetokea tena, watu wakaja na matusi...
Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC...
Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.
Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira...
Je unaona kama mimi au unaona kama mimi?
Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando.
Tumecheza mechi nne mpaka...
Ulifata mkondo wa wazazi /ndugu, ulivutiwa na mchezaji wa timu husika, kuna tukio la kufurahisha au kuuzunisha lililikufanya uipende timu yako?
Binafsi nimeanza kufatilia mpira nikiwa na miaka 6...
BARUA YA WAZI KWA MTENDAJI MKUU WA KLABU YA SIMBA
Kwako Barbara Gonzalez
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba.
Kwa heshima kubwa nakuandikia barua hii nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.