Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

The Manchester City boss has been suffering with severe back pain for some time lately, and flew out to Barcelona for emergency surgery performed by Dr Mireia Illueca. The surgery was a success...
1 Reactions
2 Replies
595 Views
Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna mechi ya ligi Kuu ya NBC. Singida Big Stars imebadilisha jina sasa hivi ni Singida Fountain Gate. Azam bado wanaandika SBS ikimaanisha Singida Big Stars, na sio Singida Fountain...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
[emoji599][emoji2424] Ibrahimovic: "It's very easy to score goals in the MLS. If Messi thinks he's the best in history, he should score at least 7 goals in every game, because he's playing...
24 Reactions
39 Replies
3K Views
GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji...
15 Reactions
23 Replies
3K Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati Christopher Columbus akizunguka ulimwengu mzima kwa ajili ya kutafuta makoloni ya kutawala na akiamini kwamba dunia ni duara. Hapa Tanzania kuna kijana mdogo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu ni mchezaji hatari wa Club ya Simba Hongera mdogo wangu Okwi kwa kufikisha miaka 26
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya Zimbwe na mwenzie Kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe Mfano Kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi, akipanda...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
“Uchungu wa Mwana aujuaye ni Mzazi” Twendeni twendeni Uwanjani kwa wingi Timu yetu inacheza Jumatatu Ktk Uwanja wa Lake Tanganyika Saa 10:00 Jioni. Tukajaze Uwanja Mashabiki nguvu yetu Umoja na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wawakilishi wa aliyekuwa mchumba wa Antony, Gabriela Cavallin wanaandaa malalamiko dhidhi ya Antony kwa unyanyasaji wa nyumbani. Hati yenye kurasa 70 kutoka kwa Wawakilishi wa Gabriela Cavallin...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni. Iweje Leo iruhusu timu yenye Wachezaji 8 pekee kuendelea na...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Nchi hii uhuru umepitiliza,yaani mtu aliyeshindwa kusimamia sheria za soka uwanjani na kufungiwa maisha leo hii anawakosoa na kuwafundisha waliopewa dhamana hiyo baada ya yeye kushindwa...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwacheni aende tu huko kwa Marafiki zake Wakubwa akina Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC ) na wana Yanga na wala msipoteze muda Wenu kumhitaji kwani ana Sifa kuu nisiyoipenda ya Unafiki na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje. Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Salaam Tanzania na duniani kote! Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE...
13 Reactions
224 Replies
17K Views
Life-time bans for Tanzanian refs Referee Othman Kazi denies taking a bribe for a game in Tanzania The Tanzania Football Federation (TFF) has imposed life bans on four premier league...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mechi ikiwa inaendelea Wao (Mashabiki wao) huwa Wanashangilia kwa Kugeuka nyuma ( kutuonyesha Makalio yao ) kisha Wanabong'oa, Wanaganda kidogo, Wanayatikisa na kuendelea Kushangilia. Mashujaa FC...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Our process commenced in February 2023, following all charges against Mason being dropped. Throughout, we have taken into account the wishes, rights and perspective of the alleged victim along...
0 Reactions
9 Replies
658 Views
Jana Dodoma jiji walivalia jezi nyeusi baada ya kudanganywa na utopolo kuwa ndio njia pekee ya kuikamata Simba kwenye mchezo huo, ni kweli mchezo ulikuwa mgumu sana baada ya kucheza defensive game...
0 Reactions
9 Replies
998 Views
Back
Top Bottom