"Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au...
Waandishi Wetu, Dar na Morogoro
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Ulimboka Mwakingwe amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akihusishwa na njama za kuhujumu mchezo wa Ligi Kuu baina ya Simba na...
Updates
62' Mabadiliko Yanga: Wanatoka Mzize na Max wanaingia Moloko na Pacome
53: Asas FC 0-2 Yanga
52' Goaaaal: Musonda
Kipindi cha pili kimeanza
Halftime: Asas FC 0-1 Yanga
45' Asas FC...
Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano.
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati...
Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !
Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa...
Dar es Salaam. Tarehe 20 Agosti 2023: Katika kuhamasisha mazoezi ya kujenga mwili na kuimarisha afya, Benki ya CRDB imezindua mashidano ya Super League kwa timu zinazoundwa na wafanyakazi wake...
Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo.
Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA)...
Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo...
Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd.
Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali...
Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0.
Goli la Hispania lilifungwa na Olga...
Hizi timu za kuokota zinadhalilisha sana ligi ya mabingwa Afrika, we unaingia ligi ya mabingwa halafu unaomba mechi zote ucheze ugenini una akili wewe?
Inadaiwa kuwa uamuzi huo umetokana na maamuzi ya Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel kuamua kutomsajili kipa huyo wa zamani wa Manchester United.
Bayern ilikuwa katika mazungumzo ya kumsajili...
Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya...
Hawa wengine nawaona kama wasindikizaji tu ndio maana siandikagi maneno marefu kuwachosha watu.Gemu inaendelea azam kashakufa bao 1, azam sports 2 wanaonyesha.
Mashabiki wa timu ya Mashujaa FC wameanza kuliteka Vibe la Soka la Tanzania ambalo limeanza kupoteza mvuto wake kwa timu za mikoani. Ukiachana na Timu za Simba na Yanga pamoja na Azam kwa kiasi...
Nimeona mechi na Mtibwa, Robertinho ameanza na Kapombe na Tshabalala, kwangu mimi nawaona wameshachoka na hawaendi na kasi inayotakiwa, jamani tuwe wa kweli na tuache ushabiki maandazi, yule beki...
Simba ina shida katika uchezaji wake ingawa ina kikosi chenye uwezo wa kupambana na hata PSG ya ufaransa, we kama unabisha endelea kubisha lkn hiyo ndio fact.
Na mbrazil huyo ni kocha kweli kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.