Mchezaji wa Mtibwa Matheo Anthony kachungulia makosa ya Ukuta wa Simba na kubaini makosa yake na hapo hakufanya makosa alitokea na kuupasuapasua vipande japo ni wa Umeme.
Pamoja na Ushindi...
Kuna vitu vinatokea uwanjani hasa kwenye mchezo wa soka, haijalishi mara ngapi inatokea, lakini vinakuwa sio vya kuchekesha. Vinabadili matokeo ya mchezo, na kuathiri matokeo ya ujumla. Lakini...
Tuliaminishwa Kipa Jefferson Luis ni bonge la Kipa mara ghafla akalazimishwa ajifanye kaumia ili aachwe na achukue hela yake ya bure ya Tsh. 150 milioni na wapigaji wachukue Tsh. 250 milioni na...
Neymar Jr ameondoka katika soka la ulaya akiwa na miaka 31 tu. Ameenda zake Saudi Arabia kuungana na mastaa wengine waliokimbilia katika ligi hiyo.
Baadhi ya ofa ambazo Neymar atazipata katika...
Zipo taarifa kuwa wachezaji wa kigeni wa Tabora United wote wana vibali vya kazi, kilichokosekana ni vibali vya makazi lakini kwa sababu wana business visa, wanaruhusiwa kucheza kwa muda hadi pale...
Baada Ya kuipa mafanikio timu ya taifa wanawake ya uingereza kwa kuiwezesha kutwaa mataji ya ulaya na kufikia hatua ya fainali kombe la dunia, uingereza inafikiria kumpa kazi ya kuinoa timu ya...
Desemba 28, mwaka 2021, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania(TPLB) iliamua kuahirishwa kwa mchezo namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Kagera Sugar FC na Simba SC uliokuwa uchezwe siku hiyo Saa 10:00 Alasiri...
Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au...
TIFUTIFU INAKWEPAJE LAWAMA KWA AIBU YA KITAYOSE
Watu wengi wamelazimishwa kuipa LAWAMA kitayose kwangu mimi tifutifu inatakiwa iwambwe kabisaa.
Kwanza kitengo cha biashara cha tifutifu...
... [emoji3578] ›› 𝙈𝘼𝙓𝙄 𝘼𝙋𝙀𝙒𝘼 𝙈𝙆𝘼𝙏𝘼𝘽𝘼 𝙈𝙋𝙔𝘼
Baada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli.
Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari...
Gamondi ameikosa ngao
Kaze kafungwa na JKT Tanzania
Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union
Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze.
---
Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho...
Kutoka EFM: Msemaji wa Tabora United Upendo kasema
"Tumekamilisha malipo ya ya kiasi million hamsini katika suala la kusajili wachezaji na Hilo zoezi tumelifanya asubuhi lakini nashangaa yanakuja...
Kitayosa timu ngeni kwenye ligi yenye wachezaji 8 TU bila benchi la ufundi Wala mchezaji wa akina ililazimishwa kucheza na Azam kamili kwenye mchezo wa ligi kuu. Lakini Simba iliyokuwa na...
Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari bali sheria...
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa ndani ya Uwanja wa Majaliwa Timu ya Namungo inayonolewa na Kocha Mkuu Cedric Kaze aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga imeanza mbio zake za ligi kwa kipigo cha goli...
Majira ya Saa 4:00 Usiku utapigwa mcheza wa Uefa Super Cup kati ya Man City dhidi ya Sevilla.
Ni mchezo wa ufunguzi kwa msimu mpya wa mashindano kwa ngazi ya vilabu barani Ulaya. Mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.