Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?.. Kama sio...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil na Club ya PSG Neymar amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Hilal ya Saudi Arabia ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound milioni 129.4 kwa mwaka ambazo ni zaidi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mchezaji FEI TOTO wa Azam FC hii leo katumia kalamu yake ya miguu kuandika rekodi yake ya msimu ambayo inaweza kudumu kwa misimu kadhaa mbele. Goli la kwanza lilikuwa dakika ya 3' la pili dakika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam nduguzangu, kama mmeshuhudia kilichotokea pale Chamazi leo hivi kwanini isingetumika busara kusogeza mbele mchezo? Lakini TFF wakaruhusu mechi ichezwe watu wametoka mbali kuja kuangalia...
0 Reactions
5 Replies
589 Views
Lavia anatarajiwa kumfuata Caicedo kwenda Chelsea, #LFC watageukia wapi kutoka hapa? Siyo nafasi nzuri ya kubargaini wakati wapinzani wanajua una hamu ya kununua namba 6 na umeonyesha tu uko...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Timu ya soka ya Mashujaa FC ya mkoani Kigoma iliyopanda daraja msimu wa 2022/2023 kutoka Championship waianza safari yao kwa kuwashushia kipigo kizito Kagera Sugar ndani ya Machinjio yao ya LAKE...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Msimu wa mpya wa Ligi Kuu ya NBCPreamierLeague Tanzania Bara umeanza leo kwa kutimua vumbi lake katika Viwanja Viwili vya Highland Estate - Ubaruku Mbalali na ule wa Majaliwa Stadium nyumbani kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu jamaa aisee, amenikumbusha mbali sana, sijui Victor Costa, sijui Aston Pardon, sijui Juma Limonga, sijui marehemu Nico Bambaga, sijui George Masatu, sijui Frank Kassanga Bwalya, sijui Patrick...
15 Reactions
17 Replies
2K Views
Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani zote zimepoteza mechi za ufunguzi wa msimu dhidi ya Klabu ndogo. PSG imepoteza dhidi ya As Monaco(Monaco...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
Mchezaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani amezidi kuudhirishia ulimwengu kuwa yeye bado ni mchezaji bora zaidi. Messi mpaka sasa amecheza michezo mitatu na amefunga magoli 5 pamoja na assist 1...
15 Reactions
76 Replies
4K Views
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024. Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
cc: Mpwayungu Village, Bantu Lady, zipompa
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote. Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwanamama Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya Derby ya leo Mkwakwani, Tanga, akisaidiana na Mohammed Mkono-Tanga na Hamza Hamdani wa Mtwara.
1 Reactions
6 Replies
804 Views
Maelfu ya mashabiki baada ya mechi za Ngao ya Jamii kuisha na Simba kuibuka Bingwa, kumekuwa na kelele nying juu ya performance ya timu uwanjani. Wengi wao hawaridhishwi nayo ila hapa kuna swali...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Keehokutwa tunaanza safari ya kusaka ubingwa kwa kucheza na mtibwa, nakushauri Robertinho tunataka kila mchezaji acheze, mechi na Mtibwa msimamishe namba 9 Shaaban Chilunda, kumi 10 Chama uone...
2 Reactions
6 Replies
747 Views
Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom