Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
Leo tumeshinda kwa mikwaju ya penati lakini ukweli lazima usemwe, timu yetu haichezi mpira unaovutia, ni ukweli usiopingika kuwa kikosi chetu kina watu wa kazi hasa ambao wana uwezo wa kuleta...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.
Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa...
Ni aibu kwa timu kubwa kama Yanga kupiga kelele kila inapofungwa na SIMBA mbona Simba hailalamiki ikifungwa na Yanga?
Tatizo kubwa la Yanga ni mashabiki zake kuingia Uwanjani na matokeo na pia...
Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini
Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika
Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika...
SIMBA HATUNA KOCHA
Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️
"1. Simba hatuna kocha ...
2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale...
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani pira mawazo, wasiwasi, mashaka, bora liende, hemweluhemwelu, raha hakuna, pira dakika ziishe hatujazoea jamani.
Huyu Kocha ananini na...
Hoja kuwa Ally Salim alicheza faulo wakati wa kudaka mishale ya penati nimesikiliza kwa makini na kubaini wanaojadili hoja hizo ingawa watu wanawaita watu wa mpira, mm nimewapuuza na kuwapachika...
Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi.
Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani".
Maana...
Kwa ufupi huu sio utabiri isipokuwa nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting
nikiwa naandika uzi huu hivi sasa ni saa 11 Na dakika 7 jioni, mechi ya simba...
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top...
Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?
Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa...
Kutoka kwa Mchambuzi wa kituo cha Wasafi FM Eddo Kumwembe.
Ahhhh ndio maana kila siku napoteza mapenzi na huu mchezo. Mchezo umekuwa laini sana well, nasikia hii ya kwamba kipa wa Simba Ally...
UNAPOANDIKA kitabu kinachohusu klabu ya Simba. Utaandika mwanzo, katikati, kisha kuna hizi kurasa za mwisho mwisho. Namaanisha hizi zama zetu za sasa. Utaandika sifa za baadhi za wachezaji...
Wengi wanaamini upigaji penati ni bahati zaidi ya ufundi ila mimi napingana na hiyo dhana. Nikiwa mtu niliyecheza mchezo huu wa football kwa kiwango kikubwa sana katika nafasi tofauti uwanjani na...
Timu inapiga pasi za maana, inatengeneza nafasi za kufunga, wanafunga magoli mazuri na yakuvutia (ndani ya dk 90).
Yanga wanapaswa kuiga hii, vinginevyo watapotea
Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024
Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.