Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wanamichezo. Nimeangalia mechi 2 za Simba SC. Simba vs Singida na Simba vs Yanga. Timu ya Simba ina mapangufu katika nafasi hizi:- 1. Golikipa. 2. Beki wa kushoto "left back". 3. Beki...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Na NALIA NGWENA Hakuna shabiki yoyote Yule duniani mwenye furaha yakushiriki michuano Fulani pasipo na mafanikio yoyote, Bali kila shabiki ana matamanio yakupata mafanikio haswa yakubeba kombe...
3 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna habari zinazagaa hapa Tanga muda huu kuwa Klabu ya YANGA huenda ikapata RUFAA Usiku huu Kupinga Ushindi wa SIMBA leo. Sababu za Kupinga ni SIMBA kumchezesha CHAMA ktk Mchezo huo. Ngoja...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
CR7 kuonyesha kuwa aliwapania Al Hilal kwenye Michuano ya King Salman Clubs Cup kawapiga zote mbili mpaka Filimbi ya mwisho Al Nassr wanatawazwa Machampioni. FT' matokeo katika mchezo huo...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Ally Salum ameweka record mbele ya kipa aliyepewa kila aina ya sifa lakini hata hivyo amekwama kwa kutobolewa vitatu huku kipa wa Simba akizuia mikwaju mitatu ya moto. Tunzeni record hii
16 Reactions
19 Replies
3K Views
Si Mara ya kwanza kwa waamuzi nchini Tanzania kulalamikiwa kwa maamuzi mabovu Tena ya wazi kabisa Achana na mechi ya Jana ambayo golikipa alifanya ya kuyafanya Tena refa alikuwa jirani kabisa...
1 Reactions
11 Replies
391 Views
Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Tena ndani ya M-Bet? Ni kweli au wanafanana tu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wana jf Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali. Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJf Katika kufuatilia aina ya uchezaji wa hawa wachezaji wawili Onana wa Simba na Skudu wa Yanga kwa mechi mbili walizocheza kwa maana zile za utambulisho wa wachezaji na ngao ya jamii...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Kesho Tanga kuna mchezo wa watani jadi Simba dhidi ya Yanga lakini naona huu mchezo umedorora hamna shamra shamra na mtaani watu hawazungumzii hili tukio kubwa la kimichezo la kesho TFF imeweka...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Licha ya kutajwa mara kadhaa kuwa anaweza kurejea Barcelona lakini inavyoonekana Neymar ataweza kuwa mchezaji wa Al-Hilal ya Saudi Arabia siku chache zijazo. Mshambuliaji huyo wa PSG amekuwa...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Hongera kwa uahindi mtani. Lakini ukajitafakari kucheza dakika 180 bila kufunga goli. Kwenye ligi utatakiwa kufunga ili uwe boingwa, huko hakuna penati za kuamua mshindi
1 Reactions
18 Replies
1K Views
......Ubora wa Okwi, Chama na Wawa Hakika hawa Wangekuwa Watanzania Tungeenda AFCON kiulaini Sana. ..Simba SC kuifunga Mbambane Goals 8-1 Si kitu cha kawaida.....What a performance? What a...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
ALLY SALIM Bwana Mdogo tu lakini shoo zake za kibabe alafu hajiiti skrini protekta wala mdaka nchale. Mayele na vishuti vyake aliishia kung'oa majicho.
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Hilo halina ubishi kabisa, na lisipotolewa macho tusije kushangaa fainali zote zikaishia tanga ili bwana mkubwa afurahi yeye na moyo wake. Huu ni upendeleo wa hali ya juu angalia mkoa Kama songea...
2 Reactions
4 Replies
540 Views
Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe. Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba...
3 Reactions
3 Replies
807 Views
Wasalaam wana jf Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali. Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka...
1 Reactions
2 Replies
541 Views
Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama...
10 Reactions
774 Replies
58K Views
Back
Top Bottom