Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Singida kafa 2 0 kwa azam.Oh singida wanatisha, cjui nn kumbe walisaidiwa na jamaa zao ambao muda c mrefu wanapoteana.
2 Reactions
12 Replies
975 Views
Mpira sio mchezo wa kificho, winga Micquison, winga Onana, chini fabrice ngoma, juu chama, tisa Baleke au Chilunda, kumi Saido, kama mpira una uchawi sawa lakini kosi hili kesho mtatoa t hakuna namna.
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati Ngao ya jamii inaanza Yanga Singida walikuwa kambi moja na kufanya mazoezi pamoja. Hii ni match fixing kama zingine tu. Je, kwenye ligi wanapokutana lazima Singida waachie, ndo maana mechi...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Muda mfupi baada ya Mwekezaji wa Simba SC, Mo Dewji kuchapisha ujumbe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akidai kutoa karibu bilioni 3 kwenye usajili wa msimu huu aliyekuwa CEO wa klabu...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Kila siku mnatamba kuwa tunaitaka Simba, tunaitaka Simba, Simba hii ya Fabrice Ngoma, Chama, Saido, Micquisone, Onana, Kramo, Kibu Denga mtakoma na hamtarudia tena kuomba mechi na Simba. Leo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kawaida charity show yeyote ni kukusanya hela kwa ajili ya kutoa msaada either wasiojiweza, watoto yatima, elimu au matumizi yeyote ya bure kwa jamii flani. Hivi TFF wanatimiza hili lengo? Au...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga. Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Karia ndo Rais bora zaid wa TFF kuwahi kutokea, ubora unapimwa na mafanikio, hakuna Rais wa TFF anayefikia mafanikio ya Karia. Kuanzia thamani ya ligi kwasasa...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa ofisi za mbet wale wadhamini wa simba yeote mwenye ufahamu wa ofisi zao
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wala hauhitaji kuwa na elimu ya uchunguzi kujua kwanini TFF ya Karia inalazimisha kutumia waamuzi wa kike wasio na uwezo kuchezedha mechi kubwa na ngumu. Jibu ni moja tu, TFF wameamua rasmi kuwa...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Ile Gemu pale Nyamagana Agosti 10, 1974, Yanga ilikuwa imefungwa lakini kutokana na kubebwa na Refa Manyoto Ndimbo ikaibuka na ushindi wa mchongo wa 2-1. Amina kafanya makosa ya kibinadamu tu...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Naona anasakamwa sana
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akizungumza Kwenye Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya SHIMIWI katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 12 Agosti, 2023.
1 Reactions
1 Replies
692 Views
Naam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA. Ndiyoo ukweli mchungu lakini pia ni tiba kwa mtu mwelevu na...
9 Reactions
101 Replies
6K Views
Kauli hiyo inafuatia Winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez kujiunga na Al-Ahli ambapo Pep ameeleza kuwa uwekezaji wa Matajiri hao wa Mafuta unaolenga kujenga Ligi ya kipekee huko Uarabuni unaleta...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania. Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane...
21 Reactions
157 Replies
7K Views
Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani...
10 Reactions
83 Replies
6K Views
Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom