Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haijalishi umri wake umeenda kiasi gani lakini kocha Robertinho bado anamuamini sana na kwa kupepesa macho kwenye benchi Sijaona wakumuweka benchi kiungo wa bujumbura Saidoo Ntibazonkiza. NALIA...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Ikiwa leo ndio ufunguzi wa EPL kwa wale tunaocheza Fantasy Premier League hebu tupia kikosi chako cha Game Week 1
2 Reactions
5 Replies
846 Views
Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana. Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kuuliza hadi sasa kwa jinsi usajili ulivyoendelea kati Young African na Simba sport club nani aliwadanganya wachama wake?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kutokana na viungo wa yanga pamoja na mawinga wao basi sina Shaka kusema hifiz nkonkoni ata shine saana yanga Mayele Alikuwa mshambuliaji bora lakini alikuwa na mapungufu kwenye finishing...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu ya wataalamu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ipo nchini kukagua miundombinu ya michezo ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027 endapo nchi za Tanzania, Kenya na...
2 Reactions
4 Replies
961 Views
Hoja fukunyuku. Sitegemei Simba kusajili kipa mwingine msimu huu. Nadhani wanafuatilia kwa ukaribu uponyaji wa Aishi Manula na naona kuna juhudi zinafanyika za kuboresha viwango vya Ally Salum na...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kitendo cha kuwa na dominance performance dhidi ya Unified Champion Errol Spence na kuweza kumdrop mara 3 kimethibitisha ubora wake, he is special one. Kwa sasa ameweza kujibu maswali ya doubters...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Simba hii ya msimu ujao ni nzuri mno na ina uwezo wa kuikabili timu yoyote ile duniani na ikapata matokeo. Hawa wachezaji Che Malobe, Onana, Kramo, Chama, Micquisone, Chilunda, Kanoute, Saido...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24. 1. Al Ahly SC 🇪🇬 2. Wydad AC 🇲🇦 3. Esperance 🇹🇳 4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 5. Simba SC🇹🇿 6. Petro 🇦🇴 7. Tp...
19 Reactions
71 Replies
9K Views
Huyu bwana mdogo hajaingia uwanjani tangu january 2022 kwa sababu alikua na kesi ya kumtia vitasa girlfreind wake hii ikapelekea waajiri wake Manchester United kumsimamisha kazi. Hatujamuona...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Kipa mwenye Level za Kimataifa ambae amecheza Mashindano yote makubwa Africa yaani Champions League na mwaka Jana Timu yake imefika Nusu Fainali ya Confederation Cup hapa utawataja FAR RABAT ambao...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
kadabi kadogo hakooo mkwakwani, hati hati ya simba kutaka kupoteana na finali ya kombe la ngao ya jamii, nikutokana na kutokuwepo kwa mwamba wa lusaka, Cloutas Chota Chama, lakini pia papatu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida...
1 Reactions
7 Replies
764 Views
Kuna watu huwa wanachanganya sana haya maneno. Kwamba ni ipi tofauti ya maneno Suluhu na Sare? Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Maneno yote haya mawili yanazungumzia matokeo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Toa maoni yako
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliekuwa CEO wa Simba amjibu Boss wake wa zamani MO Dewji.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kocha wa simba kuna muda atakuja pokea lawama kutokana na kukosa uwezo wa kuusoma mchezo.ni sawa na mtu mweny nguo nying nzuri afu hajui ipi inampendeza.
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom