Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanajf Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele...
2 Reactions
2 Replies
416 Views
Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake. Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi...
8 Reactions
17 Replies
872 Views
Ligu kuu pendwa ya uingereza inaenda kuanza ijumaa hii, kwa wapenzi wa fantasy tupeane code za min league tuoneshane umwamba Pia mwenye code ya east africa radio fantasy atupie hapa tujoin
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo. Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kumekuwa na huu utaratibu wa muda mrefu wa timu za Simba na Yanga kuhakikisha nahodha na wakati mwingine nahodha msaidizi ni Watanzania. Sijajuaga dhana hii ilijengwa kwa sababu gani ila naona...
1 Reactions
6 Replies
540 Views
Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Imagine leo Simba pamoja na mafanikio ya kila aina ikiwemo ushindi na mpira safi leo alafu kuna mashabiki wanalalamika kwamba kocha kwanini hampangi Phiri! Kweli game ya bonanza, pamoja...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Hali si shwari katika viunga vya Msimbazi kwenye unyama mwingi baada ya kujitokeza kwa hali ya sintofahamu juu ya mahusiano hafifu yaliyopo kati ya mchezaji Moses Phiri na Uongozi na pamoja na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Yanga SC Imesajili Kiufundi na Kimkakati Simba SC Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika Azam FC Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea Singida Fountain Gate FC...
26 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa mchezo wa Fantasy Premium League, huu utakuwa uzi wetu wa kubadilishana mawazo nakuona namna ya kupata hiyo nafasi ya kwende Uingereza kuangalia mpira game kadhaa za uchaguzi wako.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni picha la kutisha sana muuaji wa jangwani yupo tena kwa ajili ya kazi hiyo. Hofu kubwa imetanda katika mioyo ya wana jangwani kwa kuwa hawajui hatma yao kwa sasa na wameanza kutumia njia yao...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba. Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu. Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora. Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Beki huyo wa kati wa Manchester United, Harry Maguire bado hajatoa majibu kama atajiunga na West Ham United au ataendelea kubaki United kupigania nafasi ya kucheza licha ya Klabu zote kukubaliana...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na HAJI S. MANARA Salaam Kiasili Haji Manara sio mtu dhaifu anayeweza kukalia kimya shutuma zinazokuja kwake binafsi au taasisi anayoingoza na kuifanyia kazi, ni aina ya mtu anayejua thamani ya...
8 Reactions
39 Replies
18K Views
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi. Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom