Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Yanga SC, imesajili wachezaji wengi sana ila ni waviwango vya chini sana na bei poa tofauti na Simba SC, ambayo pengine imetumia pesa mara Tatu zaidi ya pesa ambazo Yanga wametumia. "Yanga...
16 Reactions
57 Replies
4K Views
Yanga amemfunga Azam jana na kuingia final, hongereni lakn timu hawana, Yanga kumfunga azam ni kawaida t, ameshamfunga mara ya 5 Leo, kuna watumishi pale sio waadilifu ndio maana yanga...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Tazama penati ama madhambi aliyosababisha beki joash onyango ndani ya penati box, marefa wa CAF hawajang'ata filimbi Bali walifanya kazi zao kiweledi zaidi pasipo kuogopa presha za wachezaji. Hii...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya kukusanya na kugawa Mirabaha (TAMRISO) pamoja na Viongozi wa Chama cha Muziki wa...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya Miaka 13 akichezea spurs na muda mfupi akitumikia Leicester city , Norwich city, Millwall na Leyton orient kwa mkopo hatimaye Harry Kane anakwenda kuchezea Bayern Munich fc. Dau la...
1 Reactions
1 Replies
503 Views
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani! Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa Future yako iko...
15 Reactions
36 Replies
4K Views
Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Morison hakupewa mkataba mpya Yanga kutokana na ripoti ya kocha Nabi kuwa hafai,cha ajabu eti kaenda kumsajili AS Rabat
2 Reactions
18 Replies
1K Views
By Kondo R Kondo Ukienda Signal iduna Park uwanja wa nyumbani kabisa wa Borrusia Dortimund utamkuta mtoto wa Nyumbani Marco Reus, fundi alie weka maslahi nyuma loyalty mbele, pale Signal hata...
2 Reactions
4 Replies
692 Views
Uko mashariki ya kati Ronaldo anachezeshwa mashindano yasioleweka mashindano Ukimuangalia Ronaldo anaonyesha kabisa hapendi kucheza mashindano hayo ila sasa ameshakula vya watu atafanyaje Haya...
23 Reactions
55 Replies
3K Views
Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Hatukutegemea kama yanga ingeshinda hii game, matumaini yalikuwa makubwa kwa fei kupiga yale mashuti yake na kuwaprove wrong yanga. Lakini tulichoambulia ni kurembua tu uwanjani Nimegadhabika...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka ...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
"Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam. Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Eti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu. Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom