UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na...
Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka...
Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake...
Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na...
Simba itapumzika kwa kipindi cha mwezi mmoja kucheza ligi ya bongo kuanzia oktoba 20 hadi November ili iweze kushiriki vyema kombe la Super League.
Hata hivyo Simba wawe makini sana kwani baada...
Habari ya siku, mimi si mwenueji sana hapa Dar nauliza wapi yalipo maduka ya vunjabei hapa jijini mfano kama lipo kariakoo, au sinza naomba mnitajie sinza eneo gani au kkoo eneo gani
Habari wanamichezo, ikiwa siku kadhaa zimesalia kuelekea ufunguzi wa pazia jipya la ligi kuu Tanzania bara. Ikiwa ni mechi ya vigogo wanne waliobora kwa Tanzania hapa nazungumzia Yanga, Simba...
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.
Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako...
Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika...
Friends and our Weak Enemies,
Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu.
Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje...
Natabiri lawama ya kwanza kabisa itakuwa hii:-
TFF kwanini imeweka ngao ya hisani kugombaniwa na timu nne. Wameona kila mwaka tunabeba sisi wakaamua kuleta hujuma.
Baada ya lawama hiyo , lawama...
Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua.
Ndio maana ujio wake pale...
Habari wakuu,
Kwanza naomba nitangulize pongezi zangu moja kwa moja kwenye bodi ya usajili simba kwa kusajili wachezaji wa level za juu kabisa na waliokomaa kwenye michuano na ligi kubwa barani...
Wakuu,
Hizi timu zinaendeshwa kihuni sana sometimes! Wakati sisi Simba pamoja na raha tulizopata kwa usajili first class lakini tusisahau swala la ujenzi wa uwanja Bunju ni kama limekufa na...
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama...
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama, ataukosa mchezo wa ufunguzi wa michuano mifupi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, kutokana na kufungiwa michezo mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.