Ni tabia ya watu weupe akiamua kukubagua anakuwa na chuki kali sana pasipo sababu yoyote.
Ndio maana siwapendi kabisa makocha wazungu.Wana ujinga mwingi sana na maudhi na hawarekebishiki.
Ni...
Kiukweli nilimpinga meneja wa manchester united kumsajili onana na kumwondoa degea
Imekuja hii tena kocha kutaka kuwatoa kafara wachezaji wawili viungo Fred na macTonomy kwa ajili ya kiungo...
Huyu Kocha wa Simba kwa kitendo cha kuchelewa kufanya maamuzi katika SUB haina afya kwake na hii inakwenda kumpa kadi nyekundu ya "THANK YOU"
Lakini pia kitendo cha kufanya majaribio ya nafasi za...
Kipindi Tamasha la Simba Day linaendelea ilitokea sintofahamu baadhi ya mashabiki kutoruhusiwa kuingia uwanjani na tickets wanazo na hiyo ilitokea baada ya uwanja kujaa.
Benjamini Mkapa unachukua...
Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ)...
Wana jf kama kichwa kinavyojieleza, nafikiri huyu mzee keshaisahau ile nguvu ya mashabiki wa mnyama juu ya kile wanachokipenda.
Inaonekana huyu mzee sijui anabifu gana na Mosze mpaka game ya...
Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha.
Sasa wewe...
Kutoka katika jicho la kiufundi, nimejaribu kutafakari kwanini mpira wa Simba SC dhidi ya Power Dynamo haukuwa na na ubora wa kiufundi uwanjani?
Nimejaribu kuwaza labda wageni Power Dynamo ndio...
Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana.
Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe...
Habari zote Leo ni Simba day na namna Robertinho alivyo na wasiwasi na uwezo wa Mosses Phiri.
Hotuba ya Mhe.Rais jana ilikuwa nzuri sana na imejenga msingi mzuri kwa timu zetu zinazokwenda...
Baada ya Bondia Twaha Kiduku wa mkoani Morogoro kushindwa kwa Msouth pale Mwanza ni kama mashabiki wa Ndondi wameanza kukata kona kiaina kwa bondia huyo kwa kuuliza BONDIA HASSAN MWAKINYO atapanda...
Nani ataweza kutwaa hili kombe la premier League season ya 2023/2024???
1. Manchester City
2. Arsenal
3. Manchester United
4. Liverpool
5. Chelsea
6. Newcastle
7. Brighton
8. Tottenham
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.
Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama...
Nimewasili Tanga jioni kwenda kumshuhudia Che Malone ukuta wa Yericko pamoja na fundi wa mpira Fabrice Ngoma kwenye gemu ya ngao ya hisani tarehe 10 vs Singida, sasa hivi niko Mkwakwani naangalia...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amepokea ugeni wa timu ya wataalam African Football League chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuanza...
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe...
Kuelekea Simba Day tar 6/08, viongozi wa Simba SC wanakuna vichwa namna gani watapata kipa Bora na mwenye uwezo wa kumfunika Aish Manula au angalau amfikie hata kwa asilimia 75%.
Viongozi...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2.
Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika...
Baada ya hype ya kukaa Uturuki wiki zote zile. Baada ya kudajili wachezaji wengi wasio kuwa kwenye mapendekezo ya mchezaji i.e Miqquisone, binafsi nilitarajia makubwa sana. Hasa dhidi ya timu...
"Haukuwa mchezo wa ushindani,Power Dynamos walikuwa kutupongeza tu lakini sio ushindani" - King Kibadeni
Kwako wewe unaonaje?
Credit: TV3
NB: Je mnyama alitoa 10% Kwa wapinzani ...Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.