Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari, bila kupoteza muda , naomba kutoa ushauri kwa management ya simba na marketing managers wa sanderland kutengeneza vibegi maalum vya kibiashara kwaajili ya mashabiki na wapenzi wa simba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kweli simba wanajiua wenyewe mwaka jana tunda kaingia na jeneza ,mwaka huu wamejinyongà hii ni ishara mbaya kwao.....Makombe mtayasikia tu kwa Jirani maishani.....
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya...
8 Reactions
13 Replies
998 Views
Hello! Nafikii ifike pahala matamasha haya ya simba na yanga, ili kunoga na kuwa yenye mvuto ndani na nje! KAMATI itanuliwe kwa maana timu hizi zishirikishe maoni na mawazo mazuri maalum kutoka...
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga...
0 Reactions
6 Replies
992 Views
Mm nna uzoefu na uwanja wa mkapa, sana tena, hiki nachokiandika nimewahi kukutana nacho mara tatu, umekata tiketi ya shs 20,000/= unaenda uwanjani saa 9 unakuta VIP B imejaa na huna siti ya kukaa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Pamoja kufanikisha kesho ila wachezaji hawana budi kucheza kwa kuangalia afya zao wala siyo kuwafurahisha watu majukwaani maana wakiumia itakuwa hasara kwa timu.
2 Reactions
6 Replies
990 Views
Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji...
4 Reactions
7 Replies
691 Views
Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA...
15 Reactions
116 Replies
8K Views
Tabora si haba kwa historia. Mwaka 1975, Simba ilipigwa Na Yanga fainali ya Mapinduzi. Sasa Pale choma chankola, Igunga. Babu yake na Aden Rage, Mzee Dahel, alirecord matangazo ya ule mpira...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England. Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari. Lakini jamaa...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ya Ovyo kabisa katika Tasnia ya Michezo. Echo Uganda [emoji1254].
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin...
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Salaam wadau! Dunia inaendelea, watu wanakuwa na biashara zinatanuka. Nimekuwa nikifuatila saana wachezaji wa nje namba wanavyofanya vipaji vyao kuwa biashara na Kama unavyojua Biashara ni...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Msenegal SADIO MANE aachana na B.MUNICH waliokuwa wakimlipa zaidi ya milioni mia saba kwa wiki na kutua kwa wazee wa kugawa Minoti Al NASSR ambako ataanza kukunja kitita cha shilingi bilioni mbili...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom