1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu.
2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu...
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ?
Rais aliibembeleza Yanga ikubali...
Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani.
Ni...
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆!
Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. 🇹🇿🔴⚪️
◉Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu amesema timu ya Wakaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kwa maandalizi ya AFCON 2027 imemaliza ukaguzi...
Nawasogezea swali Hilo wananzengo maana Jana Kuna watu walibaki nje na tickets zao baada kutangazwa kuwa uwanja umejaa.
Je hao walioingia ni waakina Nani na waliobaki nje ni wakina Nani na Nini...
Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira
Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku.
Hakuna kukimbia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewangoza Watanzania kushudia burudani ya soka kwenye mechi ya kimataifa ya kilele cha Wiki ya Simba dhiodi ya timu ya Power...
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man...
..[emoji617] |𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙄𝙋𝙊
Katika vitu vigumu ambavyo Kocha wa Yanga Miguel Gamondi (56) [emoji1033] atakutana navyo ni pamoja na kuamua nani amuweke bechi nani aanze kikosi cha kwanza .
Kutokana na...
Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea
"Ahadi yangu ya kununua...
Unachopanda ndio utakachovuma.
Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo...
Huyu jamaa ilikuwa ni kama kila siku kwenye taarifa ya habari unakutana na visanga vyake.
Mara mahakamani, mara sijui wamezinguana na TFF, mara analalamika anaonewa, etc.
Nafikiri tunaweza...
Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi...
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa...
Leo kuna mchezo mkubwa sana pale England. Ni mchezo wa ngao ya jamii, Man City Vs Arsenal.
Man City ni bingwa mtetezi wa EPL pamoja na FA Cup hivyo atakutana na Arsenal aliyeshika nafasi ya pili...
Maandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake.
Tafadhali tafuteni artists wa maandishi sio kila mtu anaweza kufanya vitu hivi.
Hata nguo ulimpa designer lazima...
Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani.
Walioingia uwanjani...
Timu zote mbili zimecheza vizuri sana.
1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa
2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru
3)Mganga wa Baleke anafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.