Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Michezo ni furaha, michezo ni umoja. Naomba nichukue forsa hii kuwatakia Mashabiki, Wapenzi, wachezaji, viongozi, wanachama wa Simba kila lenye heri katika kuazimisha siku yao. Mafanikio...
2 Reactions
6 Replies
546 Views
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel...
2 Reactions
5 Replies
766 Views
Klabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0. Matokeo yamefichwa
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Timu ya Manchester City imemwaga mapesa kwa beki wa kawaida na kumfanya ndio awe Beki ghali zaidi Duniani. Manchester City imemwaga [emoji387] milion 90, je, ni kweli uyu dogo anastahili hili...
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day. Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam. Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
"Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Huyu jamaa huwa kajiimarisha sana huko South Africa, na kajitahidi kudumu huko! === Ni wakati wa beki Mtanzania, Abdi Banda kuinjoi maisha, baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na FC...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao. Wakati ikitangazwa hivyo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu. Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo.... 1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro 2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
16 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakati PRE-SEASON zikiendelea kwa baadhi ya timu hapa nchini zinazoshiriki ligi kuu Timu ya Namungo wao waamua kufanya UTALII WA UWINDAJI katika wilaya ya Karatu kando kando ya ziwa Eyasi waishiko...
1 Reactions
1 Replies
608 Views
Ufafanuzi kuhusu Ukarabati Uwanja wa Mkapa - Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndg Saidi Othman Yakubu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine... Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani. Simba hatimae...
5 Reactions
8 Replies
963 Views
Mauzauza ligi ya bongo bado siku 12 ligi ianze na mpaka sasa haijulikana ratiba inaanza na nani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello wanaspot , naomba kuuliza ni king'amuzi kipi watakaonyesha mpira wa ligi ya uarabuni , maana napenda sana kumfuatilia Saidio Mane , Asanteni sana mkuu .
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga. Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom