Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC 2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC 3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo 4. Yanga SC Kushindwa Kesi na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma Agosti 3, 2023 amehudhuria maonesho ya kimataifa ya Michezo ya Havana, yanayofanyika nchini Cuba na kuhudhuriwa na washiriki kutoka...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Godwin Aswile Mulimba Beki wa kati aliyepata sifa kubwa kutokana na uchezaji wake wa kutumia nguvu na akili kwa pamoja huku akiziba vizuri makosa ya mabeki wake wapembeni pindi inapotokea...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Mkiambiwa mna Matumizi mabaya ya Akili na mnapenda Kukurupuka mnanikasirikia GENTAMYCINE. Hovyo kabisa....!!
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) hivi karibuni limetoa orosha ya vilabu vinavyoongoza kwa ubora barani humo kwa mwaka 2023. Watani wa jadi nchini Tanzania Simba na Yanga wameonekana...
4 Reactions
19 Replies
9K Views
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote. Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya dili lake kutokwenda vizuri na walima ALIZETI wa Singida Fountaingate ya mkoani Singida hatimaye aifuata OFA ya Kocha wake wa zamani NABI pale AS FAR RABAT.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
MultiChoice Tanzania (DStv Tanzania) wametoa onyo kali kwa Watu wote wanaosambaza au kurusha kwa njia yoyote ile ikiwemo kwa njia ya waya (cable) matangazo ya ligi kama Premier league, UEFA...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Updates Updates Tiketi za Simba Day ziinapukutika. Ukisubiri kukata siku ya mechi utaumbuka. Kachukue leo kama sio leo. Hakutakuwa na fungulia mbwa kama Yanga
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Akifafanua hali ya sintofahamu inayoendelea kuhusu mchakato wa uwekezaji unaendelea kati ya Klabu ya Simba na mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), William Erio...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Sadio Mane [emoji1211] - £661,000 kwa week 2. Riyad Mahrez [emoji1026] - £481,000 kwa week 3. Kalidou Koulibaly [emoji1211] - £412,000 kwa week 4. Mohamed Salah [emoji1093] - £350,000 kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawaangalia hapa Singida wakicheza na As Vita, aisee jamani jamani, kama ligi haitokuwa na ungese, nna uhakika [emoji817] wakongwe hawawezi kubeba ubingwa. Singida wamekamilika kama ilivyo Simba ...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia? Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya kule utayaona ya huku, yes Yanga imekua topic mjini na vijijini, walipata kusema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe na ule usio zaa au kuwa na matunda hukatwa kabisa. Yanga ni mti...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Hawa jamaa Tyson na mwenzake Crawford si chochote si lolote kwa kifupi ni waoga kupindukia. Hawa wote wawili wana mkanda mmoja mmoja , Tyson ana WBC Super belt, na Crawford ana WBO lakini...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani. Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi. Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba...
9 Reactions
66 Replies
6K Views
Back
Top Bottom