Nini kifanyike twende AFCON 2023. Tusiwe wanyonge TAIFA STARS tujipange game zote za nyumbani tushinde do or die. Uwezo tunao tukiacha unyonge. Wandishi waisupport timu shida inakuja wandishi...
Wakuu
Naskia sana kuwa team yetu hii ina project yake ya kujenga team ya vijana ya baadaye. Well ni jambo zuri lakini sioni hawa vijana wetu wakipewa mkataba wa muda mrefu.
Mfano huyu dogo bacca...
Tukutane baada ya mechi
Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu.
Viva Uganda
Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
Beki huyo wa kati ambaye msimu uliopita aliitumikia Marseille ya Ufaransa kwa mkopo, amekamilisha mchakato wa kutua Besiktas ya Uturuki baada ya kukosa nafasi chini ya Kocha Erik ten Hag.
Bailly...
Natamani ifanyike kampeni kubwa ya kuhamasisha timu yetu ya taifa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yatakayofanyika Ivory Coast 2023.
TFF na Serekali huu ndiyo wakati wa kuunganisha nguvu...
... [emoji599] ›› 𝘼𝙇 𝘼𝙃𝙇𝙔 - 𝘼𝙐𝙎𝙏𝙍𝙄𝘼
Hapa sio Egypt [emoji1093], ni Austria [emoji1038]
Mashabiki wa klabu ya Al-Ahly wakifuatilia timu yao ambayo iko Nchini Austria [emoji1038] kwenye...
Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki.
Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani...
Salam za Jumapili.
Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).
Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita...
Habari, mnamo tar 6/8/2023 nlianzisha uzi huu Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL ambao ulikuwa unahusu haja ya kuanzishwa FPL ya Jamii Forums.
Kufuatia uzi huo members mbalimbali walipata muamko...
Kocha na mchezaji wa zamani wa Al Ahly,Mokhtar Mokhtar amesema kwenye michuano mipya ya African Football League,timu yao wanahofia mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao wanaweza kukutana nao nusu...
Aliyekua beki wa klabu ya Yanga raia wa kimataifa wa Congo Djuma Shabani ametimkia klabu ya Azam ya jijini Dar-Es-Salaam kwa mujibu wa taarifa mbalimbali.
Beki Djuma Shabani ameonekana kwenye...
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote...
Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie...
Akihojiwa na EATV mjumbe wa kamati tendaji Yanga bwana Alex Ngai amesema Yanga wanatamani siku moja na wao wapate fursa ya kushiriki African football league, lakini amewatakia kila la Kheri Al...
Kwa mfano GENTAMYCINE nina Taarifa za uhakika kuwa kuanzia Keahokutwa ( Jumanne ) Klabu ya Al Ahly itatuma Majasusi wake Wawili ambapo Mmoja atakuwa na Kazi tu ya Kuisoma na Kufuatilia Simba SC...
Kuna watu wajinga sana, wengine sisi tumeanza kwenda uwanja mwaka 1988 enzi hizo wengine hamjulikani kama mtazaliwa, eti sijamuona Roster Ndunguru nimesimuliwa, mimi niliyezaliwa Ocean Road...
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)...
Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan.
Simba imepata goli 5 dhidi ya...
Wasalaaa..
Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi maana ndio tunaweza kulichukua kwani kwenye hii michuano timu nyingi zinapeleka vikosi...
ANAITWA Peter Banda alipewa ‘Thank you’ yake ndani ya klabu ya Simba. Inanikumbusha namna alivyoingia nchini kwa mbwembwe akipewa jina la ‘Wonder Kid’. Kwamba ni kijana mdogo mwenye maajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.