Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

... [emoji3549] ›› 𝙄𝙉𝙅𝙐𝙍𝙔 Winga wa klabu ya Simba SC, Aubin Kramo alitonesha jeraha lake dakika ya (42') ya mchezo dhidi ya Ngome FC iliyopo katika Kambi ya Jeshi ya Tualipo (TAU) Temeke Jijini...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Hii timu ina vigagula ambao wanajitahidi kufanya yao ili mchezaji aliyekuwa timu yao akaamua kuondoka asifanye vizuri. Na mashabiki wote wangefurahia sana kuona wachezaji wote waliohama timu...
1 Reactions
10 Replies
672 Views
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya...
2 Reactions
8 Replies
728 Views
"Kama tusingekuwa na mambo ya utimu kwenye timu ya taifa basi mimi ningependekeza wachezaji wengi kutoka klabu ya Yanga kwenda kwenye mchezo huu dhidi ya Algeria kutokana na uwezo wao ambao...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Jana nilifanya time traveling kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October. Mnyama (kolo) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly...
13 Reactions
71 Replies
5K Views
Haha wanangu wa majamvi wikiendi ya maokoto si ndo hiii, Kuna LiJackpot nimekutana nalo huko Sokabet, hehe yani mechi 6 tu unatabiri kwa buku tu! Kama mnavonijua mm sio mchoyo wa michongo, Keka...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa ya Ngome Fc. Klabu hiyo imekanusha kufungwa goli 6 na wameiomba Simba Sc kuwaomba radhi.
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nilisikitika mno kumsikia bwana Kazumali (mchambuzi wa soka E FM) akifanya kampeni ya kulalamika kwa nini mchezaji Fei Toto hakujumuishwa kwenye timu ya Taifa iliyokwenda Algeria. Namkuali mno...
2 Reactions
6 Replies
669 Views
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya Septemba 9, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea nchini Algeria kwenye mchezo wa wa kufuzu...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria. Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji...
19 Reactions
616 Replies
42K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mods naomba msiunganishe hii thread! Leo hii kila Mtanzania akiwa na Furaha baada ya timu yetu ya Taifa Stars Kufuzu Afcon mwakani. Sasa kila Mtanzania ana uhakika wa Kukaa kwenye TV na kuona...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Mda mrefu Sana nakitafuta kitabu Cha maisha ya pep akiwa Bayern sijakipata ko msaada Wana jf?
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Wakati wanasajiliwa kutoka Coast Union hawa mabeki mmoja akienda Simba na mwingine Yanga wachambuzi walichonga sana, eti Ame Ali ndio alikuwa beki wa kweli na Nondo alikuwa anapita kwenye kivuli...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwamnyeto na Bacca wamecheza vizuri Pengo la kapombe na Mohamed halijaonekana, Yanga inaongoza league, Simba tumepangiwa na Al Ahly Super League, wachezaji wetu bado mfumo hawajaelewana. Simba we...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Jana tumeshuhudia Stars ikishinda tena kwa mbinde goli 1 kwa sufuri dhidi ya Niger, huku Algeria akiifunga Uganda 2-1. Msimamo hadi sasa ukionesha Algeria akiongoza kundi na akiwa tayari kashafuzu...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
Back
Top Bottom